Katika Siasa Tuwe Makini na Mambo Haya


kibogo

kibogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
9,696
Likes
1,196
Points
280
Age
28
kibogo

kibogo

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
9,696 1,196 280
[SUB] [/SUB]

Picha hii hapo juu inatuonyesha jinsi Baadhi ya wanasiasa wasivyojua nini hasa wanatakiwa kukifanya ndani ya jamii na nchi yao kwa ujumla, Picha inaonyesha hilo Powertilla ni Bovu huku tyre likiwa na pancha lakini kwa kutafuta sifa mtu anapanda na kupiga nalo picha akijionyesha ka anaendesha hii inaleta picha gani?
Kiuhalisia kwa mwanasiasa kufanya mambo kama haya hii ni dhahili kuonyesha usanii na kiwakilishi cha picha hii ni kuwa walioongozana na huyo wote ni wasanii na hawana nia ya dhati kwa hicho wanachokiongea au kujifanya kukifuatilia kwa ukaribu na matamko ya kila aina.
 
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Messages
835
Likes
2
Points
0
Age
26
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2013
835 2 0
hivi hao sii miccm kweli! kama ni wenyewe basi, tusiwashangae, tmesha wazoea, sisi tutulie usanii wao utakwisha 2014 2015
 

Forum statistics

Threads 1,251,560
Members 481,767
Posts 29,776,114