Katika short run ilikuwa asset lakini katika long run ni liabilities

daza steven

JF-Expert Member
Aug 30, 2016
359
357
Ujio wa Mh. Eduwado Ngoyai Lowasa na viongozi wengine kutoka CCM ambao Chadema ilitwambia kuwa ni mafisadi na kupokelewa Chadema kuelekea uchaguzi 2015 uliopita ilikuwa Asset na hasa kama Chadema ingeshinda uchaguzi.

Lakini katika long run hii ni Liability kwani katika long run hakuna miemko isipokuwa watu awanatafakari kilichotokea nyuma, na vinavyotokea ndipo wafanye maamuzi.

Nasema haya kwasababu kubadirisha giabox angani ilikuwa ni hatari sana.
Kwani kikawaida matengenezo ya chombo cha anga lazima yafanyikie chini na siyo mkiwa angani, hivyo mimi bila kumung'unya maneno lile lilikuwa jaribio la hatari sana.

Hivyo ipo hatari katika chama cha chadema kuanza upya kama ile miaka ya 1995 wasipokuwa makini.

Tanzania bila upinzani haiwezekani.
 
Gia box unaijua kweli? hivi unaweza badili gia box huku chombo kinatembea
 
Can you please define your terms i.e. short run and long run?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom