Katika redio kuna tofauti gani kati ya FM, SW, AM/ MW. Je, ipi bora kuliko zote?

Bila shaka ni abbreviation ya:
FM - Frequence Modulation,
AM - Amplitude Modulation,
SW - Short Wave,
MW - Medium Wave

Suala la Ipi ni bora zaidi, acha tuendelee kuwasubiria waliobobea kwenye fani....
Bora ni ile inayotumiak na wengi kwenye kipindi hiki cha science na technology, kwa maana FM ni masafa mapya. Kuna radio za zamani hazina FM zaidi ya MW/AM au SW 1,2,3
 
East Africa Radio wanatumia Mono, ndo maana usikivu wao ukiskiza ni kama kuna bass flani hivi sound iko combined kwenye single channel ya output...

Kwan mono ndo inakupa bass? East africa me nasikilizaga inabass sana ila mawimbi yanakuja stereo
 
Bila shaka ni abbreviation ya:
FM - Frequence Modulation,
AM - Amplitude Modulation,
SW - Short Wave,
MW - Medium Wave

Suala la Ipi ni bora zaidi, acha tuendelee kuwasubiria waliobobea kwenye fani....
FM ni bora zaidi kwa maana mawimbi yake ni mara mbili ya uwezo wa AM, better sound quality kutokana na wingi wa mawimbi na pia ina wide bathpath (88-108MHz) ambapo pia ndani ya mawimbi kuna uwezo wa kutumwa na taarifa nyingine kama tangazo kwa njia ya maandishi, mfano mzuri (RDS) Pia signal kwa kupitia FM zinafanyiwa encoding katika channel mbili za sauti (L+R) Pia haiathiriwi sana na muingiliano kutoka katika vifaa vya umeme au hata vitu vya asili. Kumbuka AM ipo katika masafa 535KHz mpaka 1605KHz. Ukitaka kujua kuhusu AM geuza yanayohusu FM.
 
Back
Top Bottom