Katika Operesheni +255 Katiba Mpya Chadema wangewaalika Komredi Polepole na Jussa, Wale jamaa wanaijua Katiba akina Mbowe wamepooza sana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,839
141,756
Ni ushauri kwa Chama kikuu cha upinzani kwamba kutoa Elimu ya Katiba Mpya ni tofauti kabisa na kupiga propaganda za Siasa kama Mbowe na wenzake wanavyofanya sasa

Katiba ni maisha, Katiba ni zaidi ya vyama vya Siasa na Tume ya uchaguzi

Tafuteni Watu wenye maarifa ya kutoa Elimu ya Katiba na siyo lazima wawe Wanasiasa

Nawatakia Dominica njema!
 
hao wote ni cha mtoto kwa Lisu
 
Back
Top Bottom