Katika neno Credit (Cr) inaleta mantiki, sasa herufi "r" inatokea wapi katika neno Debit (Dr)? Wataalam wa Accountancy levels zote tunaomba ufafanuzi

There are a lot of therories as towhy 'CR' and 'DR' is used for Credit and Debit ,

One theory states that the DR and CR come from the Latin past participles of debitum and creditum which are "debere" and "credere", respectively. Another theory is that DR stands for "debit record" and CR stands for "credit record".Some even believe the DR notation is short for "debtor" and CR is short for "creditor".
Kiingereza kimeenda shule hiki mkuu...
 
No. Debtors ni wadaiwa tuliowauzia vitu kwa mkopo
Example; Asha sells furnitures on credit to Amina.
Hapo Asha katika vitabu vyake Amina atakuwa Debtor wake kwa sababu bado anamdai pesa aliyomuuzia furniture kwa mkopo
Mfano mzuri sana huu mkuu...
 
No. Debtors ni wadaiwa tuliowauzia vitu kwa mkopo
Example; Asha sells furnitures on credit to Amina.
Hapo Asha katika vitabu vyake Amina atakuwa Debtor wake kwa sababu bado anamdai pesa aliyomuuzia furniture kwa mkopo
Na Amina kwenye vitabu vyake atamuandika Asha Kama creditor wake, yani mdai wake aliyenunua vitu kwake kwa mkopo.

Kwa undani zaidi ukifungua Journal entry ndio utaona vizuri
Mzee wa ECA? Au sio mkuu?
 
Back
Top Bottom