Katika Mtandao unaoogoza kuwa na wafanya biashara halali na haramu ni "Instagram"

Mla cha watu nae huliwa nawe jiandae siku si nyingi
Huhuhuhuh wee acha tyuuh nliwekaga dp ya bestie angu wa kike, basi baharia akazamia Dm, akaanza kushusha vocal mie namchora tyuuh, bas nkajfany nazngua ananibembeleza wee na kuingza kuwa yey ana pesa kwahyo nisiwe na was was atanpa chochot nnachotak.

Bas nkamkubalia akaomba no angu, so far nkampa nae faster akapiga muda huo, tukaongea kusikia saut angu ndio alivurugwa mweeeh, tulivomaliza kuongea nkashangaa inaingia elf 20 afu ananambia hiyo ya soda huku ananisifia nna saut amazing,

Bas tukawa tunachat tyuh muda ule, akaomba picha nkamtumia za best angu km 3 hiv lol akalewa mazima, usku wake tukaongea bas nkajiongeza nkamuomba pesa elfu 50, bas akawa anambia asubuh atatuma, huku ananiambia kuwa kwangu amefika nisiwe na wasi wa, lol kweli asubuh akatuma elf 70, uwiiiiii hapo nka mu unfollow IG, na no ake nlibrock.

Ikaisha hivyo nilikula 90, yaan nliamini watu wana hela jaman.
 
hivi umesoma na kuelewa? Anyway mie nshakula hela, hayo mengine hayanihusu.
Kwanini uweke picha za shosti wako alikuruhusu kutapelia?
Cyber Crime Act inakufaa sana kukomesha mataeli wa mitandaoni.

Wakati unatongozwa ungesema huyo sio wewe ni rafiki yako.Njaa zako zitakuponza.Utafirika!
 
sasa weee povu la nn? Khaaaah mie hela nshakula hivyoooh, na kuhusu kufirika n maamuz ya mtu husika. Relaaaaaaaaax
 
Ni kweli IG kna wengine tunafanya biashar mzur n kwa uaminif mkubwa bt wengine wanazingua mno
 
sasa weee povu la nn? Khaaaah mie hela nshakula hivyoooh, na kuhusu kufirika n maamuz ya mtu husika. Relaaaaaaaaax
Karma is bitch.kitakukuta kitu sio muda mrefu.Kufirika kutaka?wakati ushaingia kwenye 18 za wakulungwa?
Endelea tu hizo njaa zako!
 
Huhuhuhuh wee acha tyuuh nliwekaga dp ya bestie angu wa kike, basi baharia akazamia Dm, akaanza kushusha vocal mie namchora tyuuh, bas nkajfany nazngua ananibembeleza wee na kuingza kuwa yey ana pesa kwahyo nisiwe na was was atanpa chochot nnachotak.

Bas nkamkubalia akaomba no angu, so far nkampa nae faster akapiga muda huo, tukaongea kusikia saut angu ndio alivurugwa mweeeh, tulivomaliza kuongea nkashangaa inaingia elf 20 afu ananambia hiyo ya soda huku ananisifia nna saut amazing,

Bas tukawa tunachat tyuh muda ule, akaomba picha nkamtumia za best angu km 3 hiv lol akalewa mazima, usku wake tukaongea bas nkajiongeza nkamuomba pesa elfu 50, bas akawa anambia asubuh atatuma, huku ananiambia kuwa kwangu amefika nisiwe na wasi wa, lol kweli asubuh akatuma elf 70, uwiiiiii hapo nka mu unfollow IG, na no ake nlibrock.

Ikaisha hivyo nilikula 90, yaan nliamini watu wana hela jaman.

Kumbe wewe ndiyo ulinitapeli hela yangu
 
Kweli insta kuna muda una ujinga mwingi lakini ni mtandao ukiutumia vizuri unajitangaza kibiashara cha kufanya follow wale watu muhimu tu.
 
Karma is bitch.kitakukuta kitu sio muda mrefu.Kufirika kutaka?wakati ushaingia kwenye 18 za wakulungwa?
Endelea tu hizo njaa zako!
wee nae maneno yote haya vepeeeeeh? Km mnapenda san kutongoza mtatapeliwa tyuuuh, hakuna namna uwiiiiiiiiiiiih
 
Mimi napenda sana kuwatongoza lakini sijawahi kutapeliwa na ambao huwa nawatumia nauli lazima waje eneo la tukio
 
Back
Top Bottom