Katika mazingira haya, nataka nimueleze na muda mfupi.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katika mazingira haya, nataka nimueleze na muda mfupi....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Konakali, Jan 11, 2011.

 1. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Nipo kwenye daladala kiti cha mbele ambacho huenda kinyumenyume gari likitembea. Mbele yangu kuna mdada nimempenda kama sio kumtamani....! kila nikimrushia macho tunagongana. Kwenye kiti cha nyuma yake yupo mke wangu na ex wangu ambaye mke wangu hakuwahi kujua...! Nimebakiza kama dakika mbili tu tushuke na mke wangu, na ningependa kumjulisha huyu dada kuwa nimemfeel kimapenzi...! Je, njia ipi ni sawia kufikisha ujumbe wangu kwa wakati?
   
 2. Quinty

  Quinty JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Acha uroho...mke...x wako...bado wataka ongeza mwingine. Its was just a crush.
   
 3. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  aiiiiiiiiiiiiiiii
   
 4. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Andika namba yako ya simu kwenye kikaratasi halafu unavyoshuka jicheleweshe mke na x wakiwa wameshuka mrushie. Akikupigia sawa asipopiga sio bahati yako. Mkuu kupenda gani huku ghafla ghafla tu kwenye daladala ilhali mke na x wako hapo.
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kaazi kweli kweli!
   
 6. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nilikuwa najaribu kuangalia kama kuna ile" posted via my Mobile" hata siioni......mwenzetu kwa daladala umefungua laptop?

  What a coincidence?? Mke, ex na prospective candidate pamoja??
   
 7. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,508
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  we utakuwa ni fataki na unataka huu ushauri ili uufanyie kazi mara nyingine unapofanya safari tena ukiwa hapo hapo kwenye ki banseni burner
   
 8. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,064
  Likes Received: 3,247
  Trophy Points: 280
  Dent wewe.
   
 9. Darlingtone

  Darlingtone JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili ni fumbo?

  Gari likifunga breki jiangushe kwake afu umpapase fasta
   
 10. I

  IronLady Member

  #10
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hutaki kukumbushia kwa huyo ex wako?ya kale ni dhahabu
   
 11. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  njaa zingine bana........ nitarudi!!
   
Loading...