Katika Mazingira haya kuendeleza Matendo mabaya dhidi ya Tundu Lissu ni Kujitakia laana tu Toka kwa Mungu bila sababu

Elice Elly

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
1,268
1,593
Mungu kufanya Njia pasipo na njia.Hufanya jambo kuwa jepesi pale Akili ya Binamu inapokuwa imegoma kufanya kazi

Kwa risasi alizopigwa Tundu Lissu na wabaya wake kuondoka sehemu ya tukio huku mioyoni mwao wakiamini tayari wamemaliza kazi,na vilio vikitanda katika Anga la Tanzania watu wakiamini kuwa Tundu Lissu hatunaye tena.

Lakini kwa namna ya ajabu ya kutisha Mungu akatenda muujiza mkubwa ambao baadhi ya watu wameamua kujiondoa ufahamu wakiamini huo siyo muujiza.Nawaonea Huruma sana watu wasioona muujiza huu sababu naona wazi kuwa wamepewa upofu ili Malengo ya Mungu yakatimie.

Watu wengi waliopata elimu Dunia wanajidanganya sana kutokana na Elimu yao wakidhani Elimu ni kila kitu.kumbe wanasahau kuwa kumcha Bwana ndiyo chanzo cha Hekima na ufahamu wote.
tapatalk_1555867021760.jpeg
 
Mungu kufanya Njia pasipo na njia.Hufanya jambo kuwa jepesi pale Akili ya Binamu inapokuwa imegoma kufanya kazi

Kwa risasi alizopigwa Tundu Lissu na wabaya wake kuondoka sehemu ya tukio huku mioyoni mwao wakiamini tayari wamemaliza kazi,na vilio vikitanda katika Anga la Tanzania watu wakiamini kuwa Tundu Lissu hatunaye tena.

Lakini kwa namna ya ajabu ya kutisha Mungu akatenda muujiza mkubwa ambao baadhi ya watu wameamua kujiondoa ufahamu wakiamini huo siyo muujiza.Nawaonea Huruma sana watu wasioona muujiza huu sababu naona wazi kuwa wamepewa upofu ili Malengo ya Mungu yakatimie.

Watu wengi waliopata elimu Dunia wanajidanganya sana kutokana na Elimu yao wakidhani Elimu ni kila kitu.kumbe wanasahau kuwa kumcha Bwana ndiyo chanzo cha Hekima na ufahamu wote.View attachment 1143384
Siku waking'atwa na nge kwenye korodani ndiyo watajua kuwa siyo kila tatizo hutatuliwa kwa kutumia nguvu.
 
Back
Top Bottom