Katika Maprofesa ninaowaamini Bungeni ni Profesa Kabudi

Tangu mheshimiwa Mungu wake adedi baada ya kufakamia kikombe cha Madagascar, profesa wako kapoa kama yuko eda vile...

Haamini Mungu wake angededi kirahisi vile... huyu kirusi wa 19 hatishwi na mamitutu ya bunduki wallah
 
Sikiliza hizo speech alafu niambie mtanzania gani mwenye speech kama hizo ukitoa Nyerere.
 
Katika maprof. nao waamini hapo bungeni ni huyu mwamba prof. Kabudi.

Prof. Kabudi ni jembe sana ila kwasasa hatumiki ipasavyo.

Ukiangalia na kusikiliza speech zake youtube zimebaba viewers kibao watu wanajisomea speech zake huko youtube.

Ngoja tujikumbushe speech za prof kabudi

Basi sawa

2393157_IMG_20200508_164036.jpg
2393187_20200508_170418.jpg
 
Hivi haya matakataka ujue yalienda na wengi sana pale jumba jeupe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom