Katika mapenzi hiki ndicho kinachouma!

inabidi kujipanga vizur mnapoachana upambane kiukweli kweli sio unajisusa susa utakuja kumkimbia x wako
 
Kukutana na yule uliyemuacha kwa mbwembwe nyingi akiwa anameremeta "ameshine" mara elfu zaidi ya ulivyokuwa nae(Yaani wewe ni kama ulikuwa unamzeesha tu) Halafu wewe umefwafwanzika!
Yamemenikuta
Omba yasikukute!
Kufwafwanzika- ndo kupi Kamanda?
 
tatizo mapenzi ya watu wengi huwa yanaanza na kutakana (kubadilishana vikojoleo vyao) hawaanzi urafiki kwanza matokeo yake wakimwagana kila kitu kinasambaratika! inatakiwa uanze urafiki kwanza kisha ngono ikitokea tu! hili likienda kwa stahili hii hata mkiachana mnaweza kurudia urafiki wenu.
 
Kukutana na yule uliyemuacha kwa mbwembwe nyingi akiwa anameremeta "ameshine" mara elfu zaidi ya ulivyokuwa nae(Yaani wewe ni kama ulikuwa unamzeesha tu) Halafu wewe umefwafwanzika!
Yamemenikuta
Omba yasikukute!
 
Attachments

  • FB_IMG_1497603697353.jpg
    FB_IMG_1497603697353.jpg
    36.6 KB · Views: 32

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom