Uchaguzi 2020 Katika majimbo ya Uchaguzi 264, Lissu kwa mwezi mzima wa kampeni katembelea majimbo 17 bado majimbo 257 ambayo CCM tupo

mbona wakati wa kutafuta wadhamini katembea mikoa 17ni kampeni Tosha na ukichanganya majimbo wakati ukitembea mkoa mmoja baadhi ya majimbo ya karibu lazima yalete wawakilishi
 
Kwetu tu sijui kama atafika. Ila tumejiapiza tunamchangua yeye tu. Watu tunasikiliza hotuba zake mitandaoni, tumepagawa naye kweli kweli. Teknolojia imetuweka karibu nae sana.
 
Duuh 10 Kati ya 200??

Hiki sio kipimo sahihi cha ushindi...

Aache kudanganya wafuasi wake kua atashinda.
 
Ukweli unaowatoa nyongo wapambe wake ni kwamba, hata akifikia majimbo yote, hawezi shinda, hawezi na hatoweza, ninauhakika 100%

Amejitahidi Sana, atapata Kura 1.m

Labda Chadema wakiongeza matusi mara Ishirini zaidi ya hayo wanayotukana mitandaoni sasa
Chadema wapo 7mln
Ccm 10mln washabiki chadema ina mara 3 ya ccm
 
Back
Top Bottom