Katika maisha yangu Mimi huwa ni mtu ninayeishi kwa principle and Rules shida inakuja kumpata atakae fiti kwenye huu mfumo wangu mgumu--4-4-2

Morg

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
1,301
1,767
Habarini wandugu natumaini nyote wazima wa afya kbsa
Kama headline inavyosomeka hapo juu katika moja ya style yangu ya maisha mm napenda kutumia mfumo mgumu Sana 4-4-2 Kila mwanamke anashindwa kufiti kwenye hii formation
Nafamika zaidi Kama Diego Simone style hakuna joke's kwenye relationship kuhonga ovyo,out zisizo za msingi kila kitu kinaenda na Rules
Wanawake weng wanashindwa kuendana na mm au bado Kuna yupo atakae nifaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata chuma kina mwenzake kutu

Na palipo na uhitaji ..... uvunaji na tozo halikosi

Muda ndiye mwamuzi wa kila jambo ....wewe subiria tu mkuu.
 
Mkuu Wewe Ni Mimi Kabisa, Nakushauri Ukisimamie Unachokiamini Coz Hata Mim Nilipata Tabu Kidogo Kumpata Wakuendana Nae Bt Nilipompata Nikajifunza Kua Uvumilivu Ndo Kafara Ya Mambo Yote Mazuri Uyatakayo...
Bt Unapompata Mtu Mweleze Wazi Mapema Then Uwe Tayari Kumfunza Na Kumvumilia Kwa Muda Hapo Ndo Utayapata Matokeo + Ya Utakacho
 
Sheria ziwepo lkn zisizid sana mana wkt mwngne huwa ni kero. Na pia unapompata mtu sahihi kwako basi mueleze ukweli sheria zako zipoje na upoje. Pia uvumilivu unahitajika ktk kila jambo, unapoona jambo fln mwnzk analipenda bs jrb ata kdg kuwa na uvumilivu mtekelezee ili na yeye ajifeel happy.

Nakutakia kila la kheri, utampata tu wa kufanana nae.
 
Habarini wandugu natumaini nyote wazima wa afya kbsa
Kama headline inavyosomeka hapo juu katika moja ya style yangu ya maisha mm napenda kutumia mfumo mgumu Sana 4-4-2 Kila mwanamke anashindwa kufiti kwenye hii formation
Nafamika zaidi Kama Diego Simone style hakuna joke's kwenye relationship kuhonga ovyo,out zisizo za msingi kila kitu kinaenda na Rules
Wanawake weng wanashindwa kuendana na mm au bado Kuna yupo atakae nifaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa namfahamu yuko kama wewe, nadhani atakua anakaribia kugonga 50 sasa na hajafanikiwa kumpata mke wa kuendana na hiyo kasi yake ya 5g. Ushauri wangu, maisha sio kitu serious kiasi hicho unachodhani maana mwisho wa siku hakuna atakaetoka mzima. Legeza msimamo, take things easy, muda haumsubiri mtu na tunaishi mara moja tu.
 
Back
Top Bottom