Katika maisha bora uwe na akili nyingi kuliko kuwa na nguvu nyingi

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,274
6,592
Nili wahi kuambiwa ni bora uwe na akili nyingi kuliko kuwa na nguvu nyingi
Nikapewa mfano mmoja:-
Kulikuwa na majambazi wawili waliingia benk kuiba pesa walipofika ilikuwa hivi:-
==>Majambazi:- Haya wote laleni chini maisha yenu ni bora kuluko pesa,,,,Watu wote wakalala chini
***Nikaambiwa hii inaitwa,,, Dhana ya ushawishi
==>Kuna Dada kwa uwoga akawa amelala chini kwa mtego mapaja yote yalikuwa nje ili kuwashawishi,,,
Majambazi:- Dada kuwa na adabu chukua kanga ujifunike haraka hili ni tukio la ujambazi na sio tukio la ubakaji
==>Walipo maliza kuiba wakaondoka jambazi mwenzie akamwambia tuzi hesabu hizi pesa yule jambazi mwingine akacheka sana kwa dharau na kumjibu wewe ni mjinga sana hizo pesa hazina haja ya kuhesabiwa subili saa mbili kwenye taarifa ya habari watatangaza tumeiba kiasi gani???
==>Baada ya Majambazi kuondoka meneja akamwambia mhasibu wa benk..Ujumlishe na zile milioni 100 tulizo iba sisi"
***Hii nikaambiwa inaitwa,,, Kuogelea na mkondo wa maji "Kupambana na maisha magumu kwa faida binafsi
==>Mhasibu alifurahi sana kwa kusema daaah!!!! Ukitokea wizi kila mwezi itakuwa raha sana
***Furaha ndio kitu cha muhimu sana kwenye maisha ya binadamu
==>Meneja alifurahi Sana kwa kuwa sasa matatizo yake atayatatua kwa wizi uliojitokeza
***Shikiria nafasi pale inapo jitokeza hata Kama ni hatari kiasi gani
==>Haya usiku wake taarifa ya habari ikatangaza wizi mkubwa sana uliojitokeza benk kiasi cha million 120 zimeibiwa Leo benk kuu
==>Majambazi kusikia hivyo wakaanza kuhesabu pesa lakini cha kushangaza wakajikuta na million 20tu yule jambazi alie kataa kuhesabu zile pesa akashangaa kwa kusema daaaah!!!! yaaani meneja kaiba Mara tano zaidii yetu bira kutumia nguvu daaah!!! bora umeneja kuliko ujambazi"
***Hii inaitwa,,,Elimu ishike sana elimu iina faida kuliko nguvu
""Ukiwa na nguvu nyingi kuliko akili ni kama mzigo ,,,
""""(ZINGATIA)""""
*****************
Ni mimi Deadbody ,Shabiki wa Manchester United
 
Back
Top Bottom