Katika kusoma kwako, ni mtabe gani unakumbuka sana na kwa nini?

Mimi namkumbuka wolfgang wa majengo secondary, alkuwa wa 3 kitaifa form 4 mwaka 2009, nahis wanafunzi wa marian, feza na mzumbe walishangaa na kujiuliza huyu dogo katokea wapi na kaingia vipi kwenye hii top 10...ukizingatia majengo secondary sio shule ya vipaji maalum
 
Kuna mtabe mmoja nilisoma naye Chuo,aisee jamaa alikuwa Haendi class,yeye akisikia test/paper ndiyo anahudhuria lakini unashangaa anakimbiza Siye akina JohnKisomo.Mwingine alikuwa ndiyo Mwamba kabisa darasani Kusiwe na Show/concert/disco/talents/festival n.k,halafu Mademu ndiyo usiseme Mjinga akisonta tuu ujue haipiti siku amepita naye.Na mpaka tunamaliza Chuo Mnyamwezi alitoka na FIRST CLASS yake ya Uhandisi.Na hivi tunavyoongea jamaa anachukua PhD yake na ni Lecturer.Aiseee Huyu ndiye Mtabe ambaye siwezi kumsahau.Yaani First Year_Fourth Year Jamaa masomo ya Hisabati anawaondokea na 100% tuu.
 
Kuna manzi tulikuwa hatusomi nae school moja. Ila kila tukifanya joints exams math anatukimbiza.

Sasa ticha alikuwa akija class anatuambia mwenzenu anasoma siku 25 tuu (30 -5 za MP). Kwa sababu sisi tulikuwa wavulana tuu.tulikuwa tuna kasirika saana


Ikaja college, alikuwa anasoma Ba. Economics and statistics.

Alikuwa anakimbiza mwanzo mwisho. Alipomaliza tuu akabakishwa department pale.

Alikuwa mkimya, mpole hana makuuu.

Mara ya mwisho kumuona alikua kashamaliza M.A.
 
Hussein Athuman huyu alikuwa mtabe wetu wa shule kwa ngumi na kila aina ya ukorofi
.
Wakati tuko darasa la kwanza yeye alikuwa anapiga wavulana wote wa darasa la pili.

Aliwahi kumtandika kofi mwalimu wa darasa tukiwa darasa la tatu tu kisa mwalimu alimwamsha akiwa amelala darasani na mwalimu akatii
Aliwahi kumchoma bikari mtoto wa mwalimu mkuu baada ya kumkataza kumtomasa matiti yake

Tulipofika darasa la tano alianza kuvuta bangi hadharani tu pamoja na Valium na kuber japo alikuwa haachi kuja shule

Alikuwa akimpenda msichana hatongozi yeye ni kwenda kumsubiri tu binti nje ya darasa wakati wa lunch na kumwambia amkute wapi akikaidi anaonyeshwa cha mtema kuni.

Tulimaliza la saba
akafaulu kwenda sekondari bahati mbaya akakuta na watabe wenzie wakampa dozi ambayo mpaka Leo huwa anaisimulia

Kwa sasa huyu jamaa ni baunsa kwenye club Fulani mkoani tabora
Mtu akiwa na mwili mkubwa hasa primary lazima awe mtemi tu
 
Kuna manzi tulikuwa hatusomi nae school moja. Ila kila tukifanya joints exams math anatukimbiza.

Sasa ticha alikuwa akija class anatuambia mwenzenu anasoma siku 25 tuu (30 -5 za MP). Kwa sababu sisi tulikuwa wavulana tuu.tulikuwa tuna kasirika saana


Ikaja college, alikuwa anasoma Ba. Economics and statistics.

Alikuwa anakimbiza mwanzo mwisho. Alipomaliza tuu akabakishwa department pale.

Alikuwa mkimya, mpole hana makuuu.

Mara ya mwisho kumuona alikua kashamaliza M.A.
kama namjua hivi..surname yake ina asili ya mkoa wa kilimanjaro au?
 
Back
Top Bottom