Kwa O-level alipiga one ya point 10 akapelekwa mzumbe, ila matokeo yake ya advance sikuyajuaHuyo dogo alipata division ngapi ya point ngapi?, necta ya form 4 na form 6 ivan don
Mtu akiwa na mwili mkubwa hasa primary lazima awe mtemi tuHussein Athuman huyu alikuwa mtabe wetu wa shule kwa ngumi na kila aina ya ukorofi
.
Wakati tuko darasa la kwanza yeye alikuwa anapiga wavulana wote wa darasa la pili.
Aliwahi kumtandika kofi mwalimu wa darasa tukiwa darasa la tatu tu kisa mwalimu alimwamsha akiwa amelala darasani na mwalimu akatii
Aliwahi kumchoma bikari mtoto wa mwalimu mkuu baada ya kumkataza kumtomasa matiti yake
Tulipofika darasa la tano alianza kuvuta bangi hadharani tu pamoja na Valium na kuber japo alikuwa haachi kuja shule
Alikuwa akimpenda msichana hatongozi yeye ni kwenda kumsubiri tu binti nje ya darasa wakati wa lunch na kumwambia amkute wapi akikaidi anaonyeshwa cha mtema kuni.
Tulimaliza la saba
akafaulu kwenda sekondari bahati mbaya akakuta na watabe wenzie wakampa dozi ambayo mpaka Leo huwa anaisimulia
Kwa sasa huyu jamaa ni baunsa kwenye club Fulani mkoani tabora
kama namjua hivi..surname yake ina asili ya mkoa wa kilimanjaro au?Kuna manzi tulikuwa hatusomi nae school moja. Ila kila tukifanya joints exams math anatukimbiza.
Sasa ticha alikuwa akija class anatuambia mwenzenu anasoma siku 25 tuu (30 -5 za MP). Kwa sababu sisi tulikuwa wavulana tuu.tulikuwa tuna kasirika saana
Ikaja college, alikuwa anasoma Ba. Economics and statistics.
Alikuwa anakimbiza mwanzo mwisho. Alipomaliza tuu akabakishwa department pale.
Alikuwa mkimya, mpole hana makuuu.
Mara ya mwisho kumuona alikua kashamaliza M.A.