Katika kupambana na uhalifu,Polisi zingatieni yafuatayo:- | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katika kupambana na uhalifu,Polisi zingatieni yafuatayo:-

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmaroroi, Aug 4, 2009.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Polisi muimarishe yafuatayo ili kudhibiti uhalifu Nchini:-
  1. Muimarishe Polisi Jamii na muwaimarishe kimbinu na kizana.
  2. Polisi muwe wasiri kwa taarifa mnazopata kutoka kwa raia wema.
  3. Muweke wazi njia za kupata taarifa kutoka kwa wananchi kama namba za simu na barua pepe na namna nyingine mtakayoona inafaa kupatia taarifa.
  4. Muitikie/mfanyie haraka wito kutokana na taarifa mnazopata.
  5. Mtoe motisha kwa watoa taarifa zenye kufanikisha lengo.
  6. Mjichunguze nyie wenyewe ili kujiridhisha kuwa wote mu wamoja kwani huweza kuwepo wasaliti miongoni mwenu.
  7. Raia wema wanawapa taarifa sahihi muwape namba ili muweze kuwatumia katika kazi zenu.
  KILA MMOJA AONGEZEE MAONI YAKE.
   
Loading...