Katika kumuenzi Baba wa Taifa, tuyaangazie mashirika ama taasisi zinazofanya vizuri na yale yanayofanya vibaya katika suala zima la rushwa

Escrowseal1

JF-Expert Member
Dec 17, 2014
4,428
4,218
Mwalimu Nyerere hakupenda rushwa na Watanzania wengi hawapendi rushwa japo kuna taasisi za serikali zimeendekeza rushwa.

Kwa kuwa JF ipo kwa ajili ya mawazo huru, naomba kwa uhuru wa mawazo yetu kwa uzoefu wa kila mtu tuzijadiri taasisi zetu kwa point mbili.

Moja unadhani ni taasisi ama shirika lipi linafanya vema katika Suala la rushwa na ni ipi unadhani ni kinara kwa rushwa. Karibuni wadau na kazi iendelee.
 
Mwalimu Nyerere hakupenda rushwa na Watanzania wengi hawapendi rushwa japo kuna taasisi za serikali zimeendekeza rushwa.

Kwa kuwa JF ipo kwa ajili ya mawazo huru, naomba kwa uhuru wa mawazo yetu kwa uzoefu wa kila mtu tuzijadiri taasisi zetu
Asante kutukumbusha. Kumuenzi Baba wa Taifa:CCM, Serikali, Viongozi na Watanzania kwa Ujumla, Je Tunamuenzi Baba wa Taifa kwa Mawazo, Maneno na kwa Vitendo?, Tunamuishi?.
Nawatakia maadhimisho mema na mapumziko mema ya Nyerere Day.

P
 
Back
Top Bottom