KATIKA KUFUNGA MWAKA 2013..HAWA NDIO MASTAA 4 WALIO WAPIGWA MIMBA BILA NDOA....watazame hapa

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281

Ni funga mwaka! Mastaa wa Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’, Recho Haule, Belina Mgeni na Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ wamejikuta wakiumalizia mwaka 2013 wakiwa ‘vitumbo ndii’ licha ya kuwa bado hawajaolewa,....

Kwa mujibu wa chanzo chetu, wasanii hao wamebeba mimba hizo kwa nyakati tofauti na wamekuwa wakijificha kukwepa aibu ya kubeba ujauzito kabla ya kufunga ndoa.

Belina Mgeni.
“Wanaona aibu kubeba ujauzito kabla ya ndoa, wamekuwa wakijificha na mbaya zaidi hawataki kujionesha maana wengi wao hawajawatambulisha wachumba wao kwa wazazi wao,” kilisema chanzo hicho kwa sharti la kutotaja jina lake.

Baada ya kuzinyaka habari hizo, mapaparazi wetu waliingia mzigoni kusaka ukweli wa habari hiyo ambapo jitihada zilizaa matunda kwa kupatikana kwa picha za mastaa hao zikionesha tayari vitumbo ndii.

Jennifer Kyaka ‘Odama’.
Baadhi yao, picha zilionesha mimba zikiwa ni kubwa huku wengine zikionekana ndiyo bado changa.

Aunty Lulu, Belina walionekana dhahiri kuwa ni waleo au kesho, matumbo yao yalionekana ‘live’ ni makubwa, Odama yeye ilionekana bado halijajitokeza vizuri.

Recho Haule.
Kwa upande wa Recho Haule, rafiki wa karibu aliyeomba hifadhi ya jina, alipenyeza habari kuwa mimba aliyonayo shosti wake huyo ni ya mpenzi wake wa kitambo, Saguda George lakini naye amekuwa akijifungia ndani kukwepa macho ya watu.

“Recho ni mjamzito lakini amekuwa akijificha kukwepa kamera za mapaparazi si unajua tena uchumba wake na Sagunda kila mmoja alikuwa akiufatilia magazetini!”

Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’.

Baada ya mapaparazi wetu kujitosheleza na ushahidi wa picha, zoezi la kuwasaka wasanii hao ili kujua wahusika wa mimba hizo lakini simu zao ziliita muda mrefu bila kupokelewa.

Baadhi ya mashabiki walioongea na paparazi wetu, hawakusita kuonesha hisia zao kwa mastaa hao, kila mtu alikuwa na mtazamo wake juu ya mastaa hao.

“Unajua kama Belina naona amebeba mimba ila yuko kwenye process ya kufunga ndoa ingawa sijui ni lini kwani niliwahi kumsikia akisema kuwa anaweza kufunga ndoa soon” alisema shabiki mmoja, mwingine akasema hivi:

“Sisi tujuavyo kioo cha jamii maana yake ni mtu kufanya yale yanayofaa kuigwa lakini kwa hawa mastaa wetu wamefanya tofauti, wote wamebeba mimba bila ndoa, sasa jamii itajifunza nini kutoka kwao?
 
sijui wana umri gani. navyojua wanawake wakivuka umri wa miaka 30 uzazi unaanza kuwa wa matatizo, kama hakuna mwanaume aliyejitokeza kufunga nao ndoa acha tu wajizalie watoto wao bila kuolewa, wasije kukosa vyote mume na mtoto/watoto.
 
Heri yao walioamua kuzaa..no matter what..kuliko wale wanao zitoa kila siku..!
 
ukizaa bila ndoa kila mtu anajua ulizini

Kwa mujibu wa kanuni gani? Zilizowekwa kwa msingi gani? Unajuaje kwamba kila mtu anakubaliana na msingi huo?

Mimi mbona sina mpango wa ku judge watu kiujumlajumla hivyo?

Kwa kusema kijumlajumla "kila mtu" wakati kuna watu hatuamini katika your medieval piousness ushajionesha unaandika bila kufikiri.
 
I like......
 
matatizo ya kusoma URUSI ayo
 
Hahahahahah huyo ndio Kiranga Bwana swali juu ya swali,,, MONEYStunna kazi unayo
 
Last edited by a moderator:
Te te te....

wangejua hakuna kanuni...

kuna wanaozaa watoto kazaa na wameshaua watoto kazaa....

Kuna wanaozaa hawajawahi kuua...

Kuna wanaoua na hawajawahi kuzaa

kwa hiyo kuona mtu amezaa haina maana ya moja kwa moja kuwa ni saint...au sinner...(as far as kuua kunahusika)

Zimekataa kutokaaa ndio maana wameamua wazae tuu,lakin Belina ashawahi kuolewaa au?
 
matatizo ya kusoma URUSI ayo

Ningeshangaa sana...
Kwa jinsi uwezo wa kichwa chako ulivyo, yaani sikutegemea kama ungethubutu jibizana na Mh: Kiranga post zaidi ya 4...
Unazidi kunidhihirishia kuwa kichwani mwako yamejaa makamasi
 
Kwa mujibu wa kanuni gani? Zilizowekwa kwa msingi gani? Unajuaje kwamba kila mtu anakubaliana na msingi huo?

Mimi mbona sina mpango wa ku judge watu kiujumlajumla hivyo?

Kwa kusema kijumlajumla "kila mtu" wakati kuna watu hatuamini katika your medieval piousness ushajionesha unaandika bila kufikiri.

Nikipata desktop nitakupa like mkuu....
 
Back
Top Bottom