mosabiy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 2,501
- 1,901
We jamaa, yaani uliamini kweli, Huyo aliyesema hajui hata alichokuwa anakisema, hajui hata wataalam wanaandaliwaje.Mi naamini tanzania ya viwanda ilikuwa ni move ya kisiasa na sio uhalisia
Coz sikuona sera na mikakati ili kukamilisha hivyo viwanda zaidi ya porojo tu! Za majukwaani