Katika kuelekea kujivua gamba hali ya hewa ndani ya CCM SI SHWARI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katika kuelekea kujivua gamba hali ya hewa ndani ya CCM SI SHWARI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kurunzi, Mar 16, 2011.

 1. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Kuna tetesi nilizipata jana kuwa hali si nzuri sana kati ya mwenyeki ti na sekretarit ya ccm . Habari hizo ambazo bado ni tetesi zinasema kuwa inaonekana mwenyekiti anampango wa kuwatosa wanasekretariet hao na kuweka watu wake ambao anauhakika hata akiondoka atakiacha chama katika hali nzuri. Na amekuwa akiwatumia baadhi ya wajumbe wa nec katika mpango wake huo bila kuwashirikisha sekretariet hali iliyopeleke Wanasekretariet hao hasa makamba wakimlaumu mwenyekiti kuwa amekuwa anapelekewa umbea na watu kuwa sekretariet imechoka na inapaswa toswe yote. Wakati mwenyekiti akijua jinsi sekretarit hiyo ilivyofanya kazi ya ziada kuhakisha ushindi wa chama chao.

  Hata hivyo habari zinasema baadhi ya wanasekretariet hasa makamba na chiligati wanaona upepo huo huenda ukawakumba hivyo nayenyewe wamejipanga kuhakikisha wataweka waridhi wanaowataka wao ndiyo waitiongoza sekretariet hiyo.
   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Na waendelee kupashana kama akina waimbaji wa taarabu
   
 3. sizy

  sizy Member

  #3
  Mar 16, 2011
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  waache waendelee kugombana mwisho wao umeishafika,
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Chama chao kinaelekea kumeguka...
   
 5. escober

  escober JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  acheni wafu wazikane
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Tujadili jinsi ya kupata uhuru wa nchi yetu, achana na mambo yao ya ndani hawa.
   
 7. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Dua la kuku halimpati mwewe........
   
 8. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watagawana fito muda si mrefu
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Sikio la kufa halisikii dawa.........
   
 10. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mimi naomba mungu kife kabisa kwa kuwa kimeshafanya dhuruma ya kutosha kwa watanzania!!
   
 11. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kila mchuma majanga basi hula na wakwao. Hakifi ng'o
   
 12. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu Kurunzi, naona habari zako ni za udaku.
  Udaku kwa maana ya yale niliyohighlight kwa wino mwekundu.
  Makamba kwa taarifa zilizo wazi ndiye kinara wa kukikoroga chama na kukididimiza hata JK kupata matokeo ya chini kabisa kuliko marais waliopita.Siyo siri vile vile kuwa Sektreteriat chini ya Makamba ina utendaji hafifu na usio wa kisomi kuliko wakati mwingine wowote.
  Mkuu Kurunzi unajikoroga vile vile unaposema Makamba na Chiligati watateua wardhi(warithi?) wao katika sekretariet!!!
  Nafikiri hizo ndo nasema habari za udaku maana nitakuuliza ni kwa ubavu gani walio nao?
   
 13. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Ni udaku mtupu mkuu I second you.
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Mar 16, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapo kwenye RED hebu fanya editing tukuelewe, nimefunguwa mpaka kamusi sijakuelewa bado.
   
 15. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #15
  Mar 16, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Safi sana waache watafunane wenyewe kwa wenyewe!~!!!!!!!!!!!!!!!! GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOD! I LIKE THAT!
   
 16. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #16
  Mar 16, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Nimesimama kwenye kona ya uhuru na msimbazi.
   
 17. Magogwajr

  Magogwajr JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Na bado watafarakana sana tu hadi wengine watahama nyie subirini mtaona mambo mengi sana
   
 18. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #18
  Mar 16, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  who are the secretarieti?
   
 19. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #19
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  endelea kusimama hapo hapo nikupige picha!!!!!! Haa haa haaaaa!!!!!!
   
 20. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #20
  Mar 16, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Makamba ndiyo mchawi halisi wa CCM, JK hilo analitambua lakini sijui nini kinamfanya kusita kuchukua hatua. Lakini angalizo langu mimi ni CCM kusoma alama za nyakati.
   
Loading...