Katika kila watu 10, Kuna Wana CCM 7

Kama ingekuwa hivi haya yasingetokea.......
IMG-20190415-WA0012.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.

Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.

Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.
Inawezekana sababu katika watoto 10 tz 7 ni wajinga
 
Back
Top Bottom