Katika kila watu 10, Kuna Wana CCM 7

Nimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.

Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.

Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.
Katika 20% ya wapiga kura nchini Tanzania hukumalizia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.

Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.

Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.
Nikweli muda ukifika wa nyumbu kutoka Masai mara kuingia huku kwetu lazima watakuwa wengi kwa 70% na huko watapungua kwa 30% hivyo utafiti wako uko sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mburula hajui hata maana ya research, shibe ya viporo tu inamhangaisha kama anataka kutaga vile.
Hii research utakuwa umefanyia sebleni kwenu, hao ni mashabiki na siyo wapiga kura, fanya kama unajikuna uchaguzi uwe huru na wa haki, ondoa polisi wenu, ondoeni tume yenu wekeni tume huru ndo utaelewa kwanini bangi imeruhusiwa njombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.

Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.

Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.

katika hao 7 ccm wawili hawajui wanafuata mkumbo tu. watatu wapo ccm kwa maslahi yao ya biashara au ulaji katika katika uongozi .jumla hao ni 5 baki wawili hao wawili ni ccm tshirt na kofia au kanga na dera hawa wawili wakipewa vitu hivyo mpaka vichakae wao ni ccm
 
Nacheka kwa niaba ya wenye akili timamu wote...........
Nimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.

Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.

Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.
Kati ya watu 10 nadhani haujui kuwa watu 7 wameumizwa na serikali ya Awamu hii kama sio wao basi ni watu wao wa karibu(mfano...mjomba,shangazi,binamu,motto au mzazi).....kama ulikuwa hujui ndo hivyooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vkyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.

Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.

Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.

In other words; kwa kila Watanzania (na sio "watu") 10 ni WATATU tu wenye akili timamu.
 
Nimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.

Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.

Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.
TWENDE KWA fact

Watanzania kwa sasa tupo 55M
Unaposema kila kwenye watu 10, kuna wana CCM 7, maana yake CCM inawanachama
55,000,000 X 0.7 = 38,500,000......MILIONI 38 NA LAKI 5. UNATAKA KUTUAMBIA KUWA CCM INA WANACHAMA WENGI KIASI HIKI?

HIVI MNAANDIKAGA KUJIFURAHISHA?
 
Nimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.

Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.

Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.
Magonjwa mtambuka
 
Hiyo research yako ina kasoro, Ukweli ni kwamba Magufuli atashinda kwa zaidi ya asilimia 90
 
Nimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.

Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.

Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.
Nachelea kuhusu uhuru wako kwani umevunja sheria ya Takwimu kwa kutoa huo utafiti wako kabla hazijapitia katika ofisi zake.
 
Nimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.

Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.

Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.
Ndo maana nchi hi bado masikini
Bado tunashabikia kuibiwa
Na bado tutakufa masikini.....
Kwa report hi yaCAG NASIKITIKA NA NAONA AIBU KUiTWA MTANZANI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.
Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.
Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.
Unafanya utafiti huku unapiga punyeto?
 
Back
Top Bottom