Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,695
- 2,553
Katika 20% ya wapiga kura nchini Tanzania hukumaliziaNimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.
Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.
Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.
Sent using Jamii Forums mobile app