vexozanzhu
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 503
- 615
kama hii ni tafiti ya kweli basi ni shida kubwa....ila mi nilipo kati ya watu
Nyumbu ni chadomoUkisema wanachama napingana na wewe..kidogo ungesema kati ya watu kumi,saba ni (nyumbu)washabiki wa ccm
Hha.ila hili jina hapana kwa kweli..yani ukiona inafika mahala unaitwa nyumbu basi ujue wew ni kilaza wa kutupwaNyumbu ni chadomo
Nimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.
Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.
Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.
Na hiyo 70%, polisi wana asilimia ngapi, NEC wanangapi na wapiga kura wana ngapi?Nimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.
Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.
Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.
uko sahihi kabisa ndugu.... i mean kwa kutumia utafiti wa sample space hii hapa chini:Nimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.
Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.
Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.
Kama utafiti wako ulifanyia kolomije basi ni 100% sure taifa la wajinga na matakatakaNimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.
Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.
Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.
Report ya CAG umeipitia vizuri?Nimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.
Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.
Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.
Hii haitakusaidia kitu.
Kamuulize.
Labda hiyo research yako umeifanyia makutupolaNimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.
Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.
Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.
Siyo kama bali wamekunywaMkisha shiba viporo na makombo mezani kwa chakubanga mnajiropokea tu kama mmekunywa maji ya chooni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka haya ni mawazo ukiwa kweye lile gheto lako!!Nimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.
Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.
Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.