Katika kila watu 10, Kuna Wana CCM 7

Nimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.

Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.

Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.

Hiyo research yako uliifanyia wapi? Labda kwenye mikutano ya ndani ya ccm ndiyo unawez kupata hizo hasilimia na si vinginevyo.
 
Nimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.

Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.

Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.
Na hiyo 70%, polisi wana asilimia ngapi, NEC wanangapi na wapiga kura wana ngapi?
 
Nimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.

Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.

Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.
uko sahihi kabisa ndugu.... i mean kwa kutumia utafiti wa sample space hii hapa chini:

1. X (CCM)
2. Bashiru (CCM)
3. Polepole (CCM)
4. Bashite (CCM)
5. Kibajaji (CCM)
6. Ndugai (CCM)
7. Tulia (CCM)
8. Nape (anti-CCM)
9. Membe (anti-CCM)
10. Mwandosya (anti-CCM)
 
Nimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.

Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.

Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.
Kama utafiti wako ulifanyia kolomije basi ni 100% sure taifa la wajinga na matakataka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.

Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.

Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.
Report ya CAG umeipitia vizuri?

Labda hiyo research yako umeifanyia makutupola

In God we trust
 
Nimefanya research kwa kufuatilia jinsi Magufuli anavyokubalika nimegundua Magufuli atashinda kwa 70% ikilinganishwa na vyama vya upinzani ambavyo vitpata watu 30%.

Muda ukifika nadhani hisia hizi zitakuwa kweli.

Tanzania yetu inapaa lakini tulicheleweshwa na watendaji Sasa system imewazingira Magufuli kawatega.
Bila shaka haya ni mawazo ukiwa kweye lile gheto lako!!
 
Back
Top Bottom