Katika kesi ya BRANCH DIRECTOR CRDB BANK LTD V. TITOH KWAREH, HIGH COURT, LABOUR DIVISION, MOSHI (2011).

Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
1,282
2,000
Mfanyakazi aliachishwa kazi kwa madai ya utendaji kazi duni wakati alikuwa mfanyakazi bora.
_____
Mwajiri alimwachisha kazi mfanyakazi wake kwa tuhuma za utendaji kazi duni kwa maana ya poor work performance. Hata hivyo Mahakama ikaona hizo tuhuma siyo za kweli kwa sababu:-

1.Kwa muda mrefu tangu mfanyakazi aanze kazi hajawahi kupewa onyo la aina yoyote kwamba utendaji kazi wake ni duni.

2.Mwaka mmoja kabla ya kuachishwa kazi, mfanyakazi huyo alikuwa mfanyakazi bora na akamwezesha mwajiri wake kupata faida nzuri.

3.Kulikuwa na ushahidi wa ripoti kuonesha kwamba utendaji kazi wa mfanyakazi huo ulikuwa unaridhisha.

Kutokana na sababu hizo Mahakama iliamua kwamba mfanyakazi ameachishwa kazi kinyume na haki na hivyo alipwe fidia ya mishahara ya miezi 60.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katus Manumbu

Senior Member
Jul 20, 2017
112
225

Hakurudishwa kazini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom