Katika-katika ya umeme chanzo nini, tujulishwe basi maana mmm imezidi

hakika kuna shida sio kawaida kwa mwendo huu.tangu asubuhi mpaka linazama hakuna umeme.unarudi watu mnafurahi kuwa tutapata mwanga usiku.mida ya kula saa mbili paa giza ndio nitolee hiyo.
"Kaa kwa kutulia!! kutokana na mvua zilizonyesha mitambo imecollapse hii Yote imetokana na kutokufanyiwa marekebisho kwa muda mrefu"

J. Makamba
 
Chuki tu, tunachukiwa hakuna zaidi ya hapo, ogopa sana watu wanao cheka cheka kila wakati, ndani ya mioyo yao ni Giza tu.
 
Mimi apa washaniunguzia radio nina hasira...nimemtumia bibi yangu baadhi ya majina ya mafundi tanesco angaike nao kidogo maana nishachoka
 
Mimi apa washaniunguzia radio nina hasira...nimemtumia bibi yangu baadhi ya majina ya mafundi tanesco angaike nao kidogo maana nishachoka
Ambatisha na jina la waziri wa nishati kabisa.

Maana, yatokanayo kwenye idara anayoiongoza, kisha yeye kupiga kimya bila kutoa neno ama kuchukua hatua, maana yake kabariki.
 
Back
Top Bottom