Katika hospitali ya Rufaa ya Bombo wagonjwa walivalishwa Uniform waliposikia Waziri Mkuu anakuja. "Mbunge wa Mkoa wa Tanga Nuru Awadh

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
Screenshot_20200501-225054.png


Nilisikitika sana wakati waliposikia Waziri Mkuu anakuja Wagonjwa wote walivalishwa Uniform.Sasa zile Uniform zipo kwa ajili ya Kumuonesha Waziri Mkuu au Kuvalishwa Wagonjwa wote wanapoingia tu Hospital.

Pia Mbunge huyo wa Mkoa wa Tanga amewashukuru wanachama wa CUF kwa upande wa kina mama wakiongozwa na Katibu Mtendaji wa wanawake CUF Taifa (JUKE) kwa kuhamasisha wananchi kuvaa Barakoa.
 
Kweli uozo wa nchi umejulikana. Yale masifa sijui yalikuwa yanatolewa na misukule gani.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom