Katika hili la Wamachinga Mheshimiwa Rais utanisamehe sijazoea unafiki!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,054
107,538
Nianze tu kwanza kwa kukupongeza kwa kujitokeza jana ukiwa na Makamu wako kuweza kulizungumzia na kulitatua kwa muda tu tatizo la Wafanyabiashara wadogo wadogo waitwao Wamachinga juu ya hatima yao ya kufanya biashara ILA kuna mambo ambayo bila kukuficha nitapingana na Wewe bila aibu wala unafiki kwa hoja zangu zitakazokuja mbele.

  • Mheshimiwa Rais kila Mtu anajua kuwa Wewe ndiyo umewateua hawa Wakuu wa Mikoa, wa Wilaya na Wakurugenzi wote waliopo nchi nzima ili wafanye Kazi kwa niaba yako na ni kitu cha wazi tu kuwa hata hayo wanayoyafanya pengine yana baraka au maelekezo yako sasa iweje tena jana ' ukapovuka ' vile hadi kuonyesha kuwa hawa Watendaji wako ' wateule ' walikurupuka?

  • Mheshimiwa Rais nikikumbuka ile ' kauli ' yako ambayo uliitoa pale katika Viwanja vya ' Furahisha ' tena ukiwa ' umefura ' kabisa ulimtaka huyu huyu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na hawa hawa ' Watendaji ' wako kuhakikisha kuwa hawa ' Wamachinga ' uliowatetea jana ' waondolewe ' mara moja kwani walikuwa wanasababisha na kuleta ' usumbufu ' mkubwa pale Mwanza mjini halafu nilipokuona jana ukiwa tena ' umefura ' kwa ' kuwatetea ' hao ' Wamachinga ' na kuwalaumu ' Watendaji ' wako ambao Wewe mwenyewe uliwapa ' maelekezo ' nimeshangaa mno.

  • Mheshimiwa Rais jana nimekusikia vizuri sana ' ukitiririka ' mbele ya uliokuwa nao hapo ' Ikulu ' kwa kusema kuwa usingependa kuona hawa ' Wamachinga ' wakionewa kwakuwa ' wao ' narudia tena kwa kusisitiza ulisema kwa kuwa ' wao ' ndiyo waliokupigia ' Kura ' na kukuweka ' madarakani ' mwaka jana. Naomba kukuuliza je Mheshimiwa Rais ina maana unataka kusema kuwa kama hawa ' Wamachinga ' wasingekupigia hizo ' Kura ' zilizokuweka ' madarakani ' hapo ungekubali waondolewe na ungeridhika na hiyo hatua?

  • Mheshimiwa Rais kwa ' maelezo ' yako ya jana ya kuonyesha kuwapigani hawa ' Wamachinga ' na ustawi wao wa ' kimaisha ' ndiyo unataka kusema kuwa sasa utakuwa ' unawakumbatia ' Wamachinga hawa kwakuwa ni wapiga ' kura ' wako ili mwaka 2020 wakuweke tena ' madarakani ' hivyo uko radhi kuwaona wakivunja ' sheria ' na taratibu zilizopo na ambazo zinatakiwa zifuatwe na kila Mtanzania bila kujali yeye ni nani?

  • Mheshimiwa Rais nadhani jana baada tu ya kutoa lile ' tamko ' lako ' tetezi ' kwa wapiga ' kura ' wako pekee na waaminifu Tanzania nzima waitwao ' Wamachinga ' uliona jinsi ambavyo walifurahi na pale pale wakaanza kuonyesha ' jeuri ' yao kwa kuanza kujichukulia hatua wao kama wao pasipo hata kufuata ' taratibu ' ambapo wengi wao walianza ' kujichorea ' vizinga pembezoni mwa barabara na ' kuta ' za Nyumba za ' Watu ' kitu ambacho kwa ' jicho ' langu la ' tatu ' nililobarikiwa nalo na Mwenyezi Mungu naona ' mtafaruku ' na ' uhasama ' mkubwa wa ' Kimaslahi ' unakuja kati ya hawa Wapiga ' kura ' wako ' waaminifu ' Wamachinga na wenye maeneo yao na Wafanyabiashara ' wakubwa ' na ambao pengine ndiyo wanalipa ' Kodi ' nyingi ambazo zinasaidia kwa namna moja au nyingine kuendesha ' Uchumi ' wa nchi hii.

  • Mheshimiwa Rais nina ' uhakika ' usio na ' shaka ' kabisa kuwa kwa ' tamko ' lako lile la jana utakuwa umewapa ' kiburi ' na ' jeuri ' ya ' kutukuka ' kabisa hawa wapiga ' kura ' wako ' waaminifu ' Wamachinga kote nchini na sasa wanaweza wakawa wanajifanyia ' wanavyotaka ' kwa ' kigezo ' kuwa Wewe ' mtetezi ' wao upo na pia kwa kauli yako ile sitoshangaa sasa kuona ' Vijana ' wakijichanga kukimbia kutoka ' vijijini ' na kuja ' mijini ' ili kufanya ' umachinga ' kwani tayari umeshawaonyesha njia nzuri jana je upo tayari pia kupokea ' misururu ' ya ' migogoro ' Ofisini Kwako?

  • Mheshimiwa Rais hili ' sakata ' la hawa ' Wamachinga ' lilianza nadhani tokea ' wikiendi ' iliyoisha hadi hawa ' Wafanyabiashara ' kuanza ' kuvunjiwa ' vibanda vyao huku wengine wakinyanyaswa na bahati nzuri sana karibu ' media outlets ' zote nchini Tanzania zilifanya ' coverage ' ya kutosha juu yake ila hukutokea na binafsi nimeshangaa sana kukuona jana ndiyo ' umejitokeza ' vile ' kuwatetea ' wakati tayari wameshaingia ' hasara ' kubwa. Je Mheshimiwa Rais huoni kwamba pengine hili ' tamko ' lako la jana ungelitoa tu siku ile ile ya mwanzo lingesaidia sana kuliko kusubiri ' Wamachinga ' wafukuzwe, wavunjiwe vibanda vyao ndipo ' ujitokeze ' kuwatetea na kuwapigania tena kwa ' kigezo ' cha kusema kuwa ndiyo wapiga ' kura ' wako?

HITIMISHO LANGU LA KIUSHARI KWAKO.

Mheshimiwa Rais ni ukweli usiopingika kuwa kwa huu mwaka mmoja tu wa ' Uongozi ' wako umeweza kufanya ' mambo ' mengi makubwa na mazuri ambayo nadhani kila Mtanzania ameridhika na kufurahishwa nayo kwani umeweza ' kuthubutu ' na ' tunakupongeza ' sana kwa hilo na tunakuomba zidisha bidii ILA nadhani pia kuna ' tatizo ' dogo mno ama kutoka kwako kuwa pengine labda hupendi ' ushauri ' kutoka kwa ' Wasaidizi ' wako au hao hao ' Wasaidizi ' wako wanakuogopa labda kwa haiba yako ya ' ukali ' ambayo nakushauri ' ipunguze ' kidogo kwani hata Role Model wako Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alikuwa ' mkali ' ila tofauti yake na yako Mwalimu alikuwa ana heshimu sana ' ushauri ' kutoka kwa ' wasaidizi ' wake huku akiwa anawaamini pia.

Kama jana umeweza kuwasema Viongozi wako uliowateua mwenyewe wa Mkoa wa Mwanza kwa ' utendaji ' wao ambao umekuudhi basi naomba huo ' ukali ' wako usiishie tu kwa huyo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na Watendaji wake bali uende pia kwa Wakuu wa Mikoa wengine na Watendaji wao ambao na wao katika hiyo Mikoa yao wanafanya mambo ya ' ajabu ' na ya ' hovyo hovyo ' Kiutendaji tena kushinda hata hao wa Mwanza huku wengine sasa wakitaka hata kuonekana kama ni ' Miungu ' watu na ' Wafalme '.

Wajengee ' kujiamini ' sana Watendaji wako hasa Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi kwani kwa ' utafiti ' wangu mdogo tu wengi wao hawafanyi ' Kazi ' za Kimaendeleo hasa huko walipo na badala yake wanafanya Kazi ili tu kuweza ' kukuridhisha ' Wewe na ' usiwatumbue kitu ambacho hakina ' afya ' wala ' tija ' katika administrative / management perfomance na mwisho uwe unazisikiliza sana ' taarifa ' muhimu unazopewa kwani nimegundua kuwa ' tatizo ' kubwa la ' kimawasiliano ' ambalo pengine linakupelekea ' kujichanganya ' sana katika ' maelezo ' / ' matamko ' yako.

Naomba niishie hapa na narudia tena kusema kwa hili la jana la Wamachinga sijakubaliana na Wewe na bado kunatakiwa kuwa na ' mjadala ' mpana juu ya uwepo wao na ufanyakazi biashara wao na siku zote ' Siasa ' zisitupeleke ' kubaya ' hadi tukaonekana ' vituko ' mbele ya macho ya wenye ' akili ' na ' upeo ' wa ' kutukuka ' ILA nisikufiche ' tamko ' lako la jana lina ' utata ' mwingi na ' limejichanganya ' mno na wengine ' likituduwaza '.

Nikutakie tu kila la kheri na ' majukumu ' mema Mheshimiwa Rais wangu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ILA utanisamehe tu kuwa sijazoea wala kufundishwa kuwa ' mnafiki ' mbele ya ' ukweli ' au ' mtazamo ' ninaouona.

Mimi kwa kweli namuunga mkono, ni wakati wa mlala hoi nae kufurahia nchi yake. Miongo mingi iliyopita matajiri ndio waliofaidi keki ya taifa.
Kutesa kwa zamu.
 
Tulitegemea kile kinaitwa 'Damage control' kutoka team propaganda kumsaidia mzee badala yake ni haya makavu.... Hii si dalili nzuri na kile kilichosemwa toka upande mwingine kuwa 'Muda ni mwalimu mzuri' chaelekea kudhihiri.
 
Mheshimiwa Rais anasahau, alisema ametumia muda mwingi/ alikuwa halali ili kuhakikisha anateua watu makini! Leo vipi?
 
Dah... kuna wengine wanawaficha wagonjwa wa kipindupindu huku.....ukipimwa unaambiwa una taifod.....nani anataka kutumbuliwa usawa huu??
 
ha ha ha ha sema wimbo bora wa mwaka tz!!!!!!!!!
Na hawa viongozi wanavumilia khaa!!! utaftikir chuma kweli ajira hakuna ..
Tatzo la kuwa na elimu za theory ndio hili,kama mtu una taaluma yako kwann uhangaike hivi,ni aibu kumtolea Mkubwa mwenzio tamko la kuzuia amri yake hadharani ,unajenga chuki baina yao.
 
Kuna mama mmoja nilimuona katika tv habari akilia na kupagawa akisema yeye alizunguka mkoa na vitongoji vyake vya jiji la MWANZA akimnadi Mh.POMBE na Ccm yake ishinde. Leo anashanga kuambulia kuvunjiwa na haohao aliohangaika nao ili wamuongoze.
ANAJUUUUTA kumfaham POMBE
 
Kashawaambia ukuu wa mkoa, ukuu wa wilaya sijui ukurugenzi wameupata kibahati bahati, wafate maelekezo siyo kujiamlia mambo.
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom