Amanijua
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,776
- 1,583
Jaribu kutafakari zaidi ya hapo ulipoishia mkuu..Kipengele gan cha katiba kinamzuia kutengua maamuz ya kipuuz yaliyofanywa na waliochin yake??
RC na DC ni wateule wa Rais na kila wanachofanya wanafanya kwa niaba yake...
Maana yake ni kwamba huwezi kuamua jambo bila kuwasiliana na mamlaka yake ya uteuzi.