Katika hili la treni, kenya wamechezewa chekundu.

Complex

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
4,113
4,741
Will Kenya get value for money from its new railway? - BBC News

The first major new railway line in Kenya for more than a century, running between the capital Nairobi and the coastal city of Mombasa, faces an immediate challenge of justifying its relatively high cost.

At $5.6m per kilometre for the track alone, Kenya's line cost close to three times the international standard and four times the original estimate.

So it is perhaps not surprising that Kenyans have been asking why they seem to have paid so much.

Kenya's new 472km (293 mile) railway is the country's biggest infrastructure investment since its independence in 1963. Built to a modern "standard gauge", it runs parallel to the now-dilapidated metre gauge railway line from the colonial era.

While everyone agrees that Kenya desperately needs more infrastructure, not everyone agrees that this was the most economically sensible solution.

Cost comparisons have been made between this line and Ethiopia's 756km Addis Ababa-Djibouti line launched last year.

Both are Standard Gauge Railway (SGR) projects financed by Chinese loans, costing $3.4bn (£2.6bn) for Ethiopia and $3.2bn for Kenya.

Ethiopia's line is more than 250km longer and is electrified, which is typically more expensive; trains running on Kenya's line will be diesel-powered.
 
We usijifanye unajua. Gharama zinatofautiana kwa sababu ya mambo mengi.

Sehemu reli inapita
Fidia kwa wenye Aridhi
Na mengine mengi
 
Mkuu, mbona unanirukia mimi.? Hahahahahaa, Hiyo ni habari iliyotolewa na BBC.? Nothing came from my mind there. Na link hiyo hapo.

Na ina maana hao wakenya wanaohoji pia hawafahamu kuwa kuna fidia na hayo mengi unayoyasema hapa.?
 
Mkuu ungejua vita ya chini chini inayoendeshwa na mataifa ya magharibi kuhusu China in Africa wala uwezi kuchukulia analysis za BBC seriously - nchi hizo ziliwahi kufanya vitu vitu gani vya maana kuindeleza nchi za Kiafrica tangu zipate uhuru, wana kitu gani cha kujivunia? Hawana, masaa yote propaganda tu - mbona hawajazungumzia lolote kuhusu mchanga uliojaa madini ya thamani kubwa waliokuwa wanatuibia kwa muda wa miaka karibu ishirini, wanaishia kutununulia madawati ya shule na kujenga vizahanati mshenzi, wanatuona ni mazezeta - wamechangia nini kwenye masuala ya infrastructure na viwanda - maneno matupu na kuchonganisha watu/Mataifa, wanaisema vibaya Uchina huko wanakwenda kuomba mikopo kutoka huko huko Uchina mfano Marekani yenyewe na Uingereza wanaingia ubia na Wachina kuwajengea Nuclear Power reactors huko huko Uingereza British telecoms inanunua mitambo ya mawasiliano ya Huawei, wanawajengea port London Dock, mpaka wanataka wajengewe na Wachina reli za mwendo kasi mbona hatujawasikia Waingereza wakisema Wachina hawafai ni wezi.

Watu wanataka kulinganisha ujenzi wa reli ya Kenya na Ethiopia wakati hawajui facts zote, kwanza Kijografia/physical Kenya hipo tofauti sana na Ethiopia hivyo gharama za ujenzi ni wazi zitakuwa juu kuliko za Ethiopia hilo lipo wazi kabisa, hapo hatuja gusia ulipaji fidia na mambo mengine chungu mzima, Wakenya wanajua wanacho kitaka wao - tujenge ya kwetu kwanza tukimaliza ndiyo ku-compare notes kama kuna ulazima kabla ya hapo hatuna moral Authority ya kuzisema sema Nchi za wenzetu wakati sisi ndiyo tupo kwenye matayarisho ya kujenga yetu yao imekwisha fika Nairobi, angalia reli ya Kenya ilivyo jengwa, Railstation za Dunia ya kwanza, je, sisi ya kwetu itakuwa na muonekano gani - hivi BBC wanaweza kubeza beza nchi ambayo inashika nafasi ya pili Duniani kuwa na Uchumi mkubwa, nani mtu Duniani ambaye ana akili timamu anaweza kuwachukulia Wachina poa.
 
Je utekelezaji wa miradi ya China huko Ulaya na Marekani inaweza kuwa na ubora sawa na huku Afrika, kuanzia gharama halisi za mradi mzima maana tunajua tabia za viongozi huku Afrika.
 
time will tell, time will tell bro
DBIYLUwXkAA9-s3.jpeg
136322566_14959704113441n.jpg
136322566_14959704112661n.jpg
136322566_14959704111881n.jpg
136322566_14959704112191n.jpg
FB_IMG_1496939455881.jpg
FB_IMG_1496554841917.jpg
 
Je utekelezaji wa miradi ya China huko Ulaya na Marekani inaweza kuwa na ubora sawa na huku Afrika, kuanzia gharama halisi za mradi mzima maana tunajua tabia za viongozi huku Afrika.

There you're crux of the matter ni "watu wanao pewa dhamana ya kuongoza Mataifa ya Kiafrica" kufanya mambo ya ndiyo sivyo, hilo ndilo janga la Bara letu - likija suala la ubora hasa katika ujenzi wa reli mimi sina shaka na taaluma ya Wachina tuchukulie mfano wa reli ya TAZARA tunaingia mwaka wa karibu hamsini/nusukarne tangu ijengwe na bado ni imara kabisa, kuanzia reli yenyewe, madaraja, mahandaki, Railstations na workshops - tukija kwenye gharama halisi za miradi hapo ma culprit ni Waswahili wenyewe ndiyo uwashurutisha Wachina wa inflate gharama halisi 4 their own benefits, niliwahi kuwasikia Wachina wakilalamika kwenye baadhi ya miradi ya barabara hapa Nchini!!!
 
Walitaka tupiga kwenye Airport na kwenye reli naona wazee walwashtukia mapema
 
machina hana kosa ufisadi unafanywa na miafrika yenyewe na mchina yeye anakubali kwasababu let's say waziri kaamua iwe hivi au vile mchina hawezi bisha yeye anatekeleza tu ila mgawo wake upo paleplae
 
Well said mkuu, hilo ni tatizo kubwa au tuseme ni tatizo sugu hapa kwetu - maafisa waliokaa kwenye Wizara moja kwa muda mrefu wanajiona kama Miungu watu - hawana uzalendo hata kidogo - ma contractors wa infrastructures wanakuwa subjected kwenye mashikizo ya ajabu ili watoe hongo/rushwa ndiyo maana wakati mwingine wakandrasi ulazimika kuchakachua baadhi ya miradi ili kufidia loss wanazo zipata kwa kulazimika kutoa rushwa!! Na kibaya zaidi wakiona Mataifa/Kampuni fulani ni wagumu kutoa hongo basi wanajengewa hoja ya kunyimwa contract hata kama wana uwezo mkubwa wa kutekeleza miradi kwa ufanisi - Waswahili hilo hawajali hata kidogo.
 
Will Kenya get value for money from its new railway? - BBC News

The first major new railway line in Kenya for more than a century, running between the capital Nairobi and the coastal city of Mombasa, faces an immediate challenge of justifying its relatively high cost.

At $5.6m per kilometre for the track alone, Kenya's line cost close to three times the international standard and four times the original estimate.

So it is perhaps not surprising that Kenyans have been asking why they seem to have paid so much.

Kenya's new 472km (293 mile) railway is the country's biggest infrastructure investment since its independence in 1963. Built to a modern "standard gauge", it runs parallel to the now-dilapidated metre gauge railway line from the colonial era.

While everyone agrees that Kenya desperately needs more infrastructure, not everyone agrees that this was the most economically sensible solution.

Cost comparisons have been made between this line and Ethiopia's 756km Addis Ababa-Djibouti line launched last year.

Both are Standard Gauge Railway (SGR) projects financed by Chinese loans, costing $3.4bn (£2.6bn) for Ethiopia and $3.2bn for Kenya.

Ethiopia's line is more than 250km longer and is electrified, which is typically more expensive; trains running on Kenya's line will be diesel-powered.
Kenya wana ufisadi Sana.
angalia sasa vyakula vimepanda bei na shida kupatikana
 
Mleta mada acha upotoshaji, gharama ya Ujenzi was SGR duniani kwa wastani ni US $ 3Mill/km, regardless of the terrain.

Hiyo ya Kenya ya US $ 5.6Mill/km imeshtua wengi kwani imeonekana wazi kuwa ulikuwa ni mkakati wa serikali ya Jubilee kupata hela ya kampeni.

Vile vile, yafaa ufahamu kwamba, the geographical terrain ya Kenya, kwa maana ya Mombasa-Nairobi is mostly plain, that unlike Ethiopia which is mostly mountainous, would obviously render the construction less costly in comparison to Ethiopia.

Mwisho, unawapa machina sifa nyingi zisizo na msingi wakati kwenye dunia hii kila moja sasa hivi ni "Unscrupulous" inapokuja swala la utafutaji. Naona unataka kujitoa ufahamu kwamba hujui ni nani yuko nyuma ya utowekaji wa Faru na Tembo wetu au tu kwa kuwa hayo machina yana tendency ya ku-back chama chenu wakati wa uchaguzi.!
 
Back
Top Bottom