Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,985
- 20,263
Siasa ni mchezo mchafu,
Sentensi hiyo hapo juu inamaana kubwa sana japo ni fupi na yakipuuzi kabisa,
Chama pendwa cha mapinduzi (yamaneno) ccm jana kilitarajiwa kupata ugeni, nasema ugeni kwamaana ya mu uvccm wao Vick Kamata alitaraji kuiasi kambi ya makapera na kuingia jumuiya ya wazazi ccm,
Hii ni hatua kuu na ya kujivunia kwa chama hiki kinacho lazimisha kuendelea kufilisi taifa huku kikiwa na mchoko mkuu wa kiutawala,
Binti mbichi Vick Kamata ndoto yake yakuvishwa pete ya ndoa imeyeyuka baada ya mme mtarajiwa kuwekewa zuio kwa madai kuwa ni mtaalamu wa kuoa na kuacha aka tapeli wa mahaba, roho, na mwili.
Tukio hili limekitia doa chama hiki na kukifanya kiaminike kuwa ni chama chenye kila aina ya uchafu duniani,
Kwanza haya yanatoke ambapp uongozi mzima wa juu wa chama hiki hauna maadili mema kifamilia na kisiasa, wote ni wachafu haifai hata kusimulia.
Lakini hili limegusa masikio ya wengi na kufanya chama kitopee kabisa kwenye lindi la ufuska, na njia pekee ni chama kutoa tamko ama la kumpa pole mwanachama wao ama kujitenga nae na kuueleza umma kuwa suala hili ni lake binafsi, japo hawawezi kulikwepa kwakuwa wabunge karibu wote wa ccm ndio waliokuwa wanakamati ya maandalizi ya harusi hiyo.
Katika hili ccm msipotoa tamko litakimaliza chama kabla ya 2015.