Katika hili, CCM msipotoa tamko litakimaliza chama kabla ya 2015

halijapita lile mkuu , yule PDG AMEAIBIKA SANA !

Kuaibika? Sasa aibu ni kitu gani kwa watu ambo aibu haiwaathiri hata kidogo, mnakumbuka Cig alipowaambia wazanzibar wakaulize Zanzibar alivyo pata aibu ya kuomba radhi, la pili ni lile la EPA watu waliambiwa warudishe pesa badala ya kuchukuliwa hatua nalo lilipita. Kwani hapa Kamata anakosa gani?
 
Siasa ni mchezo mchafu,

Sentensi hiyo hapo juu inamaana kubwa sana japo ni fupi na yakipuuzi kabisa,

Chama pendwa cha mapinduzi (yamaneno) ccm jana
kilitarajiwa kupata ugeni, nasema ugeni kwamaana ya mu
uvccm wao Vick Kamata alitaraji kuiasi kambi ya makapera
na kuingia jumuiya ya wazazi ccm,
Hii ni hatua kuu na ya kujivunia kwa chama hiki kinacholazimisha kuendelea kufilisi taifa huku kikiwa namchoko mkuu wa kiutawala..
Binti mbichi Vick Kamata ndoto yake yakuvishwa pete ya ndoa imeyeyuka baada ya mme mtarajiwa kuwekewa zuio
kwa madai kuwa ni mtaalamu wa kuoa na kuacha aka tapeli wa mahaba, roho, na mwili.
Tukio hili limekitia doa chama hiki na kukifanya kiaminike kuwa ni chama chenye kila aina ya uchafu duniani,
Kwanza haya yanatoke ambapp uongozi mzima wa juu wa chama hiki hauna maadili mema kifamilia na kisiasa, wote ni
wachafu haifai hata kusimulia.
Lakini hili limegusa masikio ya wengi na kufanya chama kitopee kabisa kwenye lindi la ufuska, na njia pekee ni chama kutoa tamko ama la kumpa pole mwanachama wao
ama kujitenga nae na kuueleza umma kuwa suala hili ni
lake binafsi, japo hawawezi kulikwepa kwakuwa wabunge
karibu wote wa ccm ndio waliokuwa wanakamati ya
maandalizi ya harusi hiyo.
Katika hili ccm msipotoa tamko litakimaliza chama kabla ya 2015.
Mkuu vitu vingine ni personal issue na si vizur kuviingilia kabisa wakati wanaanza mapenz yaho hukuwepo hatukuwepo basi tuwaachie wenyewe..ww pia usingependa mtu/watu kukuingilia mambo yko xo achana nae sanasana tumpe pole tu na kumuombea ktk wkt huu mgumu aliokuwa nao....!!
 
Kwanza Kama ni kweli Ccm itamalizwa na Vicky kukosa ndoa basi chadema itakufa kabisa maana slaa kamtelekeza Rose kamili Mbowe kamtelekeza Dk Lilian mtei au ndiyo maana mmebadili jina nakuitwa ukawa?
 
Kwanza Kama ni kweli Ccm itamalizwa na Vicky kukosa ndoa basi chadema itakufa kabisa maana slaa kamtelekeza Rose kamili Mbowe kamtelekeza Dk Lilian mtei au ndiyo maana mmebadili jina nakuitwa ukawa?

Je ccm inafanya hayo kuiga chadema?
 
Kapuya, Nape, Chemba, Yule bibi alieoa kijana wa miaka 28, Komba dhidi ya kale kademu kalikomrestisha Kanumba, Vick Kamata......endelea
 
Ni tabia za uvccm kutapeliana wamezoea hao. Vicky nae ni malaya tu iweje uwe na mwanaume mpaka mnatangaza ndoa asijue kinachoendelea? Alikua na nia ya kuvunja ndoa ya wengine huyo mwache atemwe.
 
Na suala la Mbowe kuzaa na mbunge wa viti maalumu linahitaji ufafanuzi wa kichama pia=problem solved
 
Back
Top Bottom