Katika hili, CCM msipotoa tamko litakimaliza chama kabla ya 2015

Yericko Nyerere

Verified Member
Dec 22, 2010
16,783
2,000
Siasa ni mchezo mchafu,

Sentensi hiyo hapo juu inamaana kubwa sana japo ni fupi na yakipuuzi kabisa,

Chama pendwa cha mapinduzi (yamaneno) ccm jana kilitarajiwa kupata ugeni, nasema ugeni kwamaana ya mu uvccm wao Vick Kamata alitaraji kuiasi kambi ya makapera na kuingia jumuiya ya wazazi ccm,

Hii ni hatua kuu na ya kujivunia kwa chama hiki kinacho lazimisha kuendelea kufilisi taifa huku kikiwa na mchoko mkuu wa kiutawala,

Binti mbichi Vick Kamata ndoto yake yakuvishwa pete ya ndoa imeyeyuka baada ya mme mtarajiwa kuwekewa zuio kwa madai kuwa ni mtaalamu wa kuoa na kuacha aka tapeli wa mahaba, roho, na mwili.

Tukio hili limekitia doa chama hiki na kukifanya kiaminike kuwa ni chama chenye kila aina ya uchafu duniani,

Kwanza haya yanatoke ambapp uongozi mzima wa juu wa chama hiki hauna maadili mema kifamilia na kisiasa, wote ni wachafu haifai hata kusimulia.

Lakini hili limegusa masikio ya wengi na kufanya chama kitopee kabisa kwenye lindi la ufuska, na njia pekee ni chama kutoa tamko ama la kumpa pole mwanachama wao ama kujitenga nae na kuueleza umma kuwa suala hili ni lake binafsi, japo hawawezi kulikwepa kwakuwa wabunge karibu wote wa ccm ndio waliokuwa wanakamati ya maandalizi ya harusi hiyo.

Katika hili ccm msipotoa tamko litakimaliza chama kabla ya 2015.
 
MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
3,327
2,000
Yerricko Pleaseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Can you stop this!!!
You are not supposed to write like this,come on!!!!!!!!
 
MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
18,938
2,000
Mshauri kwanza BABU aweke mambo yake ya familia sawa kabla ya kuomba ridhaa ya kuwa kiongozi wa Nchi.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
77,374
2,000
Ni kweli , hata mimi nasubiri tamko lao , hii ni aibu kubwa sana kwa chama chao .
 
Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
53,522
2,000
Too personal....hata hao wabunge wa ccm waliohusika sidhani kama walitumwa na chama...walienda kwa mapenzi yao binafsi kwa mbunge mwenzao.
Af suala lingine ni kwamba Kamata AMETAPELIWA...HAJATAPELI.Tutakuwa tunafanya makosa kumhukumu wakati ana maumivu ya kutapeliwa...
 
SaidAlly

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
2,261

Nakubaliana na wewe....minyukano ya kisiasa isihusishwe na maisha binafsi ya mtu, japo siifagilii ccm (kutokana na baadhi ya viongozi wake) lakini mambo ya huyu dada ni ya kwake na hayahusiani na chama.

Kwani katangazwa na chama chake kuwa anaolewa ili kuwaletea wananchi maendeleo.....??!!
 
Ally Kanah

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
1,480
1,500
Siasa ni mchezo mchafu,

Sentensi hiyo hapo juu inamaana kubwa sana japo ni fupi na yakipuuzi kabisa,

Chama pendwa cha mapinduzi (yamaneno) ccm jana kilitarajiwa kupata ugeni, nasema ugeni kwamaana ya mu uvccm wao Vick Kamata alitaraji kuiasi kambi ya makapera na kuingia jumuiya ya wazazi ccm,

Hii ni hatua kuu na ya kujivunia kwa chama hiki kinacho lazimisha kuendelea kufilisi taifa huku kikiwa na mchoko mkuu wa kiutawala,

Binti mbichi Vick Kamata ndoto yake yakuvishwa pete ya ndoa imeyeyuka baada ya mme mtarajiwa kuwekewa zuio kwa madai kuwa ni mtaalamu wa kuoa na kuacha aka tapeli wa mahaba, roho, na mwili.

Tukio hili limekitia doa chama hiki na kukifanya kiaminike kuwa ni chama chenye kila aina ya uchafu duniani,

Kwanza haya yanatoke ambapp uongozi mzima wa juu wa chama hiki hauna maadili mema kifamilia na kisiasa, wote ni wachafu haifai hata kusimulia.

Lakini hili limegusa masikio ya wengi na kufanya chama kitopee kabisa kwenye lindi la ufuska, na njia pekee ni chama kutoa tamko ama la kumpa pole mwanachama wao ama kujitenga nae na kuueleza umma kuwa suala hili ni lake binafsi, japo hawawezi kulikwepa kwakuwa wabunge karibu wote wa ccm ndio waliokuwa wanakamati ya maandalizi ya harusi hiyo.

Katika hili ccm msipotoa tamko litakimaliza chama kabla ya 2015.

Kweli wewe ni akili ndogo
 
idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
23,973
2,000
Siasa ni mchezo mchafu,

Sentensi hiyo hapo juu inamaana kubwa sana japo ni fupi na yakipuuzi kabisa,

Chama pendwa cha mapinduzi (yamaneno) ccm jana kilitarajiwa kupata ugeni, nasema ugeni kwamaana ya mu uvccm wao Vick Kamata alitaraji kuiasi kambi ya makapera na kuingia jumuiya ya wazazi ccm,

Hii ni hatua kuu na ya kujivunia kwa chama hiki kinacho lazimisha kuendelea kufilisi taifa huku kikiwa na mchoko mkuu wa kiutawala,

Binti mbichi Vick Kamata[/colo]rndoto yake yakuvishwa pete ya ndoa imeyeyuka baada ya mme mtarajiwa kuwekewa zuio kwa madai kuwa ni mtaalamu wa kuoa na kuacha aka tapeli wa mahaba, roho, na mwili.

Tukio hili limekitia doa chama hiki na kukifanya kiaminike kuwa ni chama chenye kila aina ya uchafu duniani,

Kwanza haya yanatoke ambapp uongozi mzima wa juu wa chama hiki hauna maadili mema kifamilia na kisiasa, wote ni wachafu haifai hata kusimulia.

Lakini hili limegusa masikio ya wengi na kufanya chama kitopee kabisa kwenye lindi la ufuska, na njia pekee ni chama kutoa tamko ama la kumpa pole mwanachama wao ama kujitenga nae na kuueleza umma kuwa suala hili ni lake binafsi, japo hawawezi kulikwepa kwakuwa wabunge karibu wote wa ccm ndio waliokuwa wanakamati ya maandalizi ya harusi hiyo.

Katika hili ccm msipotoa tamko litakimaliza chama kabla ya 2015.

1401038631177.jpg Mkuu ana ubichi gani huyu.?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom