Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,697
- 239,262
Maandiko Matakatifu yanasema kwamba LAANA YA USALITI ni kubwa sana , na yanaenda mbali zaidi kwa kusema usaliti unatafuna hadi kizazi cha 4 cha mhusika .
Wote waliosaliti na wanaoendelea kusaliti mpango halali wa Mungu wa kung'oa ccm ( chama kilichoshindwa kuleta maendeleo ya nchi kwa miaka 60 ) hawako salama , na wasijidanganye kabisa kwa hongo ya ruzuku ambayo hawajawahi kuitolea jasho , hiyo pesa haina tofauti na ile anayopata CHUMA ULETE , hawatofanyia chochote cha maana na watadhalilika vibaya sana ! Shetani hajawahi kumshinda Mungu .
Tangu enzi za Yesu hadi sasa hakuna mahali popote duniani ambapo Msaliti aliibuka shujaa , mifano ni mingi , bali wote walioishi katika njia ya haki na kweli hawajawahi kushindwa .
Mungu ibariki UKAWA .