Katibu wa uvccm wilaya ya hai achapwa akigombea malaya

kiongozi wa chama tawala UVCCM hai (MSAFIRI )alijikuta akipokea kichapo pale alipojiona yeye ni kidume wa chama tawala alitaka kutumia nafasi yake kujichukulia malaya alijikuta akipewa kichapo cha haja na kuamua kutimua mbio huku akikosa alichokitaka. haya yalitokea siku ya tarehe 27/01/2011 saa nane usiku kwenye bar maarufu ya Las Vegas kwenye mji mdogo wa Bomang'ombe ambao ni makao makuu ya wilaya ya HAI. Tuchangie tukijua ya kuwa tunahitaji viongozi wenye maadili na ambao wataingia kwenye mfumo mbovu na kuweza kuubadilisha. je huyu ataweza.??????????????????????????????????/
Kweli chama kinaelekea kufa....
 
Shakusara nsoro eto nyakee ishomba lya kasa,Iruwa aluninga finya lushewalwa sha sari.sinda na ufoo lwa nduumi kwayu wa womi.
 
Back
Top Bottom