Katibu wa TEF, Neville Meena augua ghafla, yahisiwa kapewa sumu. Apelekwa South Africa kwa matibabu zaidi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,641
218,089
Taarifa za uhakika ni kwamba Katibu wa TEF ndugu Meena ameondolewa leo mchana Hospitali ya Taifa Muhimbili kuelekea Johanessburg kutafuta matibabu zaidi ya maumivu makali ya kichwa ambayo baadhi ya magwiji wamedokeza kwamba huenda akawa amepuliziwa sumu.

Ndugu Meena ambaye alilazwa Muhimbili kwa zaidi ya wiki moja; hali yake iliendelea kudorora hadi pale Jukwaa la Wahariri lilipostuka baada ya kutonywa na wasamaria wema
 
Kwenye hii habari umejaza mtazamo wako wa kioumbavu sana!
Yani mtu kama huyo alazwe muhimbili wiki mbili bila matibabu alafu akae kimya?

Siyo mbaya lkn maana huu upumbavu manafarijiana baada ya kile kipigo mlichopata juzi.
 
Back
Top Bottom