Katibu wa mkoa wa Morogoro CHADEMA kujiuzulu

Na kama kuna mwingine mkoa mwingine bora wajichuje maana hatutaki vihiyo kwenye chama ,hii speed si ya kitoto
 
Wote waliochangia hii thread mpaka sasa wanadhihirisha kutokujua nini hasa kimetokea. Vuteni subira mtajua ukweli wa kilichotokea.

Mkuu ZeMarcopolo, kilichotokea tunakijua sana! Hata wewe unakijua lakini umegwaya kukisema! Liwalo na liwe mimi niseme, huy bwana kanunuliwa na Nape kwa cheap price kama wewe mkuu lol.
 
Kuna taarifa imetolewa na watu walio karibu na Katibu wa Mkoa wa Morogoro CDM Mh. Luanda, kuwa leo atafanya Press na waandishi wa Habari mjini Morogoro kutoa taarifa ya sababu za kujiuzuru kwake. Tayari ameshafikisha barua yake kwa Katibu Mkuu Dr. Slaa aliyeko Morogoro kwenye oparesheni ya M4C. Nakala ameshambaza kwa Makatibu wote wa wilaya. Habari zilizohibitishwa ni kwamba hayupo kwenye oparesheni tangu kuanza kwa M4C mkoani hapa japo amekuwa akionekana kwenye ofisi za mkoa.

Alikuwa Mchagga, mwi-Iraq au mpogoro? kaz kweli kweli.Tusubiri labda anaweza kutupa abc za Magwanda.
 
Ndio demokrasia. Huenda amegundua kuwa yeye ni chui kwenye kundi la kondoo au kashindwa kwenda na kasi ya nguvu ya mabadiliko sio vibaya akachupa nje ya boat awaache wanaoweza kuhimili!
 
Mkuu ZeMarcopolo, kilichotokea tunakijua sana! Hata wewe unakijua lakini umegwaya kukisema! Liwalo na liwe mimi niseme, huy bwana kanunuliwa na Nape kwa cheap price kama wewe mkuu lol.

Yale yale. JAJI MZURI NI YULE ANAESEMA "CDM NI WASHINDI"
teh teh teh.
 
Back
Top Bottom