Katibu wa Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi ajiuzulu

af586f559656b4473515e4821371fb4d.jpg
Nenda huko uendako ukakatwe vizuri hayo makato wa lumumba we
 
Upande wa kushoto wa Barua kwa juu hukaa Anuani ya unaemtumia Barua

Barua Hii inaonesha Mbunge kajitumia Mwenyewe!
Bila Shaka Hii Barua ni fekelo
Mbunge yupi wewe??
Hii imetoka kwa Katibu wa Mbunge, sio Mbunge
 
Hii barua alieitunga amekosea makosa ya wazi kabisa ambayo hata mie niliefeli uandishi wa barua naweza yaona makosa ya wazi.Nasubiri kanusho la aivyo huyu katibu ni mtu wa ajabu asiejua hata kuadress mhusika.
 
Unatoka kwenye njia nyembamba iendayo uzimani unaenda kwenye njia pana iendayo motoni!!!!
 
Pesa zinatumika kusafirisha mamluki kwenda Nairobi na wengine kupeleka "ushahidi" TAKUKURU Dar.
Nazidi kusikitika hii nchi inakosa upinzani makini.
 
Back
Top Bottom