Rip Katibu!TANZIA Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro, Lugano Mwafongo amefariki Dunia Leo Tarehe 7 Mei 2020 Katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC alikokuwa akipatiwa matibabu. View attachment 1442719
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah ikiwa ndiyo basi ni koroo sivyo?? hahahahaaaaliugua kwa muda mfupi?
Mabeberu haya maana kabisaHii corona itakuwa imetumwa na mabeberu kumaliza makada wetu wa chama. RIP mwalafyale
Yale Yale ya a.k.a matatizo ya kupumua..........TANZIA Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro, Lugano Mwafongo amefariki Dunia Leo Tarehe 7 Mei 2020 Katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC alikokuwa akipatiwa matibabu. View attachment 1442719
Sent using Jamii Forums mobile app