Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Hai punguza kupokea rushwa kipindi hiki cha uchaguzi wa chama

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,797
21,370
Kwa masikikito makubwa na kwa kilio kikubwa tunakuomba uheshimu chama cha mapinduzi.

Umekuwa ukipokea rushwa kwa wagombea wote wanaochukua na kurudisha fomu za jumuia ya wazazi wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro.

Bila aibu tena kwa kujiamini.

Umekatisha tamaa wanachama wa jumuia ya wazazi kurudisha fomu kwa kuwafai rushwa na kuongea maneno ya uchochezi kuhusu chama ngazi ya wilaya.

Ujumbe huu uwafikie viongozi wa ngazi ya mkoa na Taifa na ikiwezekana uhamishwe Hai kipindi hiki cha uchaguzi.

Kuwepo kwako Hai kunaweza kuharibu mwenendo wa uchaguzi na mwisho kuzalisha viongozi ambao ni wapinzani wa CCM.

Cc: Katibu Mkuu wa CCM Taifa
 
Ni wapi CCM haitumiki rushwa kwenye chaguzi zake? Kuanzia ngazi ya mwenyekiti taifa rushwa ndio huwa msingi wa kupatikana kwake, hao wangazi za chini unategemea nini?
 
Back
Top Bottom