Katibu wa CHASO UDOM na wenzake 92 warudisha kadi za CHADEMA, wajiunga CCM

Status
Not open for further replies.
Ndg wanajamvi,

Napenda kuweka kumbukumbu sawa juu ya taarifa za Katibu wa chaso kurudisha kadi, huyu mtoa taarifa ama amedanganywa na aliyempa taarifa ama anafanya kazi yao ccm kama kawaida yao ambayo ni propaganda badala ya kufanya siasa za hoja. Chaso Udom haina katibu mwenye jina la SIMON MPANDALUME na wala hakuna mwanachama yeyote aliyerudisha kadi kwani hakuna ushahidi wowote maana hakuna hafla yoyote iliyofanyika kuwapokea hao wanachama 92. Tafadhali MOD mimi ndiye msemaji wa chadema Udom hizo habari hazina ukweli wowote hivyo tunaomba haki itendeke. Mawasiliano ni kizwitesumbawanga@gmail.com.

eeh.!! hapo mtu mzima anaumbukaga
 
Teh teh teh..... na mashaka na chanzo cha habari. Credibility haipo....lets wait and see.
 
Kabla ya yote napenda kuwashukuru Mod kwa kuwa "fair" dhidi ya propaganda kuhusu CHASO Udom, baada ya ufafanuzi wangu juu upotoshaji wa taarifa naona hiyo post imefungwa. Baada ya hayo mchache napenda kutoa onyo kwa Uvccm wanaokesha usiku na mchana mtandaoni kuwadanganya watanzania ambao wanakiunga sana mkono chama chetu cha Chadema hususan ni hapa Udom, japo vitisho ni vingi ila tuko imara, tunafanya siasa zetu kwa moyo mmoja na mshikamano na tunazifanya siasa zetu kwa mujibu wa sheria za nchi. Hivyo Chaso Udom tunatoa tamko rasmi kuwa tunaunga Mkono maamuzi ya KK na hakuna shaka yoyote na maamuzi yale kwani nasi tunapinga kabisa aina yoyoe ya usariti ndani ya chama maana ni kawaida ya chama chetu kushughulikia wahuni na wasariti na hatujaanza leo kwani hata chaso Udom mwaka jana ilifanya maamuzi kama hayo kwa wasariti na mapandikizi. Asanteni. Viva CDM, Viva M4C!!
 
Mparaganyiko umekuwa Mkubwa kwa CDM baada ya vijana wengi kuchoma kadi za cdm na zingne wenyeviti wa vitivo wanarudishiwa. Kasi imekuwa kubwa baada ya kikao cha jana kuisha bila makubaliano hapa Dom.

Taarifa za ndani zinasema kundi kubwa likiongozwa na aliyekuwa katibu aliyejiuzuru linataka kupanga maandamano ya kumpokea Zitto kama Shujaa atakapo wasili bungeni wiki ijayo. Wakati huo kundi la pili linapinga. Taarifa zinasema Mbunge wa Momba anatumia nguvu kubwa kuzima maandamano hayo kwa kupiga simu za vitisho. Hata hivyo taarifa zisizo rasimi zinasema Mnyika amemwagiza Mwl. Ndibalema na Yohana ambao ni walimu ktk kitivo cha Elimu kuhakikisha wanaomuunga Kabwe wanabanwa na kubambikizwa kesi ili wafukuzwe.

Mwl. Ndibalema na Yohana inasemekana ni waumini wa Slaa na Mbowe.
Chanzo ni Mimi Mwenyewe kwenye kikao cha jana hapa Ng'ong'ona Kijijini.
 
Mkuu, asante kwa updates. Jana niliweka mada inayohusu hali hiyo hapa jf, mods wakaifunga, nashkuru nawe umenisapoti na kuwakata kilimi limi wale waliokuwa wanapinga
 
uzi kama huu ulifungwa jana kwa kuonekana ni wa kichochezi. Wewe mwenyewe ni CCM ulihudhuriaje kikao cha CDM wakati unajulikana kuwa wewe ni MHAFIDHINA WA CCM . Mod mtendee haki huyu bwana kwani ni mchochezi kama ilivyokuwa jana.
 
Mparaganyiko umekuwa Mkubwa kwa CDM baada ya vijana wengi kuchoma kadi za cdm na zingne wenyeviti wa vitivo wanarudishiwa. Kasi imekuwa kubwa baada ya kikao cha jana kuisha bila makubaliano hapa Dom.

Taarifa za ndani zinasema kundi kubwa likiongozwa na aliyekuwa katibu aliyejiuzuru linataka kupanga maandamano ya kumpokea Zitto kama Shujaa atakapo wasili bungeni wiki ijayo. Wakati huo kundi la pili linapinga. Taarifa zinasema Mbunge wa Momba anatumia nguvu kubwa kuzima maandamano hayo kwa kupiga simu za vitisho. Hata hivyo taarifa zisizo rasimi zinasema Mnyika amemwagiza Mwl. Ndibalema na Yohana ambao ni walimu ktk kitivo cha Elimu kuhakikisha wanaomuunga Kabwe wanabanwa na kubambikizwa kesi ili wafukuzwe.

Mwl. Ndibalema na Yohana inasemekana ni waumini wa Slaa na Mbowe.
Chanzo ni Mimi Mwenyewe kwenye kikao cha jana hapa Ng'ong'ona Kijijini.

Upuuzi mtupu!Wanafunzi UDOM wanataka kutumia uamuzi wa CC kutoka kisiasa au?

Upuuzi mtupu!
 
maji hayafungiwi njia bali hufunguliwa njia watatumia njia nyingi lakini hawatafanikiwa vijana wa leo siyo wale wa kipindi kile mnyika yeye ni nani mpaka atoe agizo mimi namuona ni mhuni wa kawaida tu.
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Huku ni kuishiwa hoja kwa vijana wa ccm.ukwel ni kwamba kuna wajumbe wa3 tu wa shosho ndo wafuasi wa zito wanatapatapa ku-mobilize wenzao
Mparaganyiko umekuwa Mkubwa kwa CDM baada ya vijana wengi kuchoma kadi za cdm na zingne wenyeviti wa vitivo wanarudishiwa. Kasi imekuwa kubwa baada ya kikao cha jana kuisha bila makubaliano hapa Dom.

Taarifa za ndani zinasema kundi kubwa likiongozwa na aliyekuwa katibu aliyejiuzuru linataka kupanga maandamano ya kumpokea Zitto kama Shujaa atakapo wasili bungeni wiki ijayo. Wakati huo kundi la pili linapinga. Taarifa zinasema Mbunge wa Momba anatumia nguvu kubwa kuzima maandamano hayo kwa kupiga simu za vitisho. Hata hivyo taarifa zisizo rasimi zinasema Mnyika amemwagiza Mwl. Ndibalema na Yohana ambao ni walimu ktk kitivo cha Elimu kuhakikisha wanaomuunga Kabwe wanabanwa na kubambikizwa kesi ili wafukuzwe.

Mwl. Ndibalema na Yohana inasemekana ni waumini wa Slaa na Mbowe.
Chanzo ni Mimi Mwenyewe kwenye kikao cha jana hapa Ng'ong'ona Kijijini.
 
uzi kama huu ulifungwa jana kwa kuonekana ni wa kichochezi. Wewe mwenyewe ni CCM ulihudhuriaje kikao cha CDM wakati unajulikana kuwa wewe ni MHAFIDHINA WA CCM . Mod mtendee haki huyu bwana kwani ni mchochezi kama ilivyokuwa jana.

Unajuaje kuwa ni ccm wakati wewe upo hai kikao kimefanyika dodoma halafu unasema yeye ccm toka hai na dodoma wapi na wapi.
 
Huku ni kuishiwa hoja kwa vijana wa ccm.ukwel ni kwamba kuna wajumbe wa3 tu wa shosho ndo wafuasi wa zito wanatapatapa ku-mobilize wenzao

kumbe ukweli mnaujua vifaranga mnakazi mwaka huu mama zenu lazima watawakimbia tu.
 
Uvumi huenda na upepo ila ukweli hubaki kama sehemu ya maisha!!!!!

Tutajua mbivu na mbichi soon
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom