Ibada ya kwanza
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 3,282
- 1,806
mbona wakihama ccm to cdm husemi?!kwan ni lazma wawe cdm?!kweli ccm majanga
HAYAHAYA DODOMA KUMEKUCHA, HABARI ZILIZONIFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA, KATIBU WA CHADEMA UDOM NDUGU SIMON MPANDALUME NA WANACHAMA WENGINE 92 WARUDISHA KADI ZA CHADEMA WAMEJIUNGA NA CCM LEO MCHANA.
Source: mtu wangu wa kuaminika aliyepo dodoma na udom
HAYAHAYA DODOMA KUMEKUCHA, HABARI ZILIZONIFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA, KATIBU WA CHADEMA UDOM NDUGU SIMON MPANDALUME NA WANACHAMA WENGINE 92 WARUDISHA KADI ZA CHADEMA WAMEJIUNGA NA CCM LEO MCHANA.
Source: mtu wangu wa kuaminika aliyepo dodoma na udom
Shot vision. Unaweza kuficha aibu yako?Akili zao fupi; kwa hiyo baada ya Zitto kuvuliwa wadhifa CCM imekuwa afadhali? Mbona sioni relation kwenye hizo scenario mbili zaidi ya kuona tu ni upumbavu tu wa watu ambao kwao siasa ni mtaji. Nafasi za ukuu wa wilaya nimeisha labda watafarijiwa na Ukatibu kata
Comment ya kijinga km hii inaisaidiaje chagadema inayokufa?Ukiona kijana kashabikia CCM chama mzee ujue ananjaa na nyuma ya makalio yake kuna utata mtupu either kama ni madenti. kV.wa UDOM ujue ni njaa hawana. pesa. ya ugali na Booom limechelewa ..wengine wako tayari kutoa Tigo ili wapewe pesa za. bia au. chips m...... njaaaa mbayaaaaaaa. vijanaaaaaaaaaa
So what????
hayahaya dodoma kumekucha, habari
zilizonifikia hivi punde ni kwamba, katibu wa chadema udom ndugu simon mpandalume na wanachama wengine 92 warudisha kadi za chadema wamejiunga na ccm leo mchana.
Source: Mtu wangu wa kuaminika aliyepo dodoma na udom
kama ni kweli hii ni habari njema kwa CHADEMA. ni vizuri wafuasi wote wa usaliti wakatuachia chama chetu.
Comment ya kijinga km hii inaisaidiaje chagadema inayokufa?