Katibu wa CHASO UDOM na wenzake 92 warudisha kadi za CHADEMA, wajiunga CCM

Status
Not open for further replies.
Post yako haina hadhi ya kuwemo JF hasa jukwaa la siasa. Nadhani facebook inahusika zaidi. Hapa jukwaani huwa zinawekwa hoja za kujadilika na zenye mashiko. Labda hapo uniambie tujadili nini sasa!!!
 
HAYAHAYA DODOMA KUMEKUCHA, HABARI ZILIZONIFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA, KATIBU WA CHADEMA UDOM NDUGU SIMON MPANDALUME NA WANACHAMA WENGINE 92 WARUDISHA KADI ZA CHADEMA WAMEJIUNGA NA CCM LEO MCHANA.
Source: mtu wangu wa kuaminika aliyepo dodoma na udom

Ukiona kijana kashabikia CCM chama mzee ujue ananjaa na nyuma ya makalio yake kuna utata mtupu either kama ni madenti. kV.wa UDOM ujue ni njaa hawana. pesa. ya ugali na Booom limechelewa ..wengine wako tayari kutoa Tigo ili wapewe pesa za. bia au. chips m...... njaaaa mbayaaaaaaa. vijanaaaaaaaaaa
 
Vijana wa UDOM. wananjaaa wako tayari. hata kutoa Tigo wapate. pesa ya. chips au bia. hata. boooom. limechelewa.
 
Akili zao fupi; kwa hiyo baada ya Zitto kuvuliwa wadhifa CCM imekuwa afadhali? Mbona sioni relation kwenye hizo scenario mbili zaidi ya kuona tu ni upumbavu tu wa watu ambao kwao siasa ni mtaji. Nafasi za ukuu wa wilaya nimeisha labda watafarijiwa na Ukatibu kata
Shot vision. Unaweza kuficha aibu yako?
 
Ukiona kijana kashabikia CCM chama mzee ujue ananjaa na nyuma ya makalio yake kuna utata mtupu either kama ni madenti. kV.wa UDOM ujue ni njaa hawana. pesa. ya ugali na Booom limechelewa ..wengine wako tayari kutoa Tigo ili wapewe pesa za. bia au. chips m...... njaaaa mbayaaaaaaa. vijanaaaaaaaaaa
Comment ya kijinga km hii inaisaidiaje chagadema inayokufa?
 
kama ni kweli hii ni habari njema kwa CHADEMA. ni vizuri wafuasi wote wa usaliti wakatuachia chama chetu.
 
Toka mwanzo nilisema siasa alizo zianzisha mwenyekiti wa chadema baunsa ndizo zitaizika chadema.
Watu wanataka kuendesha chama kwa kutonyana.
hayahaya dodoma kumekucha, habari

zilizonifikia hivi punde ni kwamba, katibu wa chadema udom ndugu simon mpandalume na wanachama wengine 92 warudisha kadi za chadema wamejiunga na ccm leo mchana.
Source: Mtu wangu wa kuaminika aliyepo dodoma na udom
 
Afuu hii Chaso ni nini by the way? Kila uzi chaso chaso! 'Ma------' yenu!
Ndio mtie akili wauwaji nyie. Mnaanzisha saccos af mnadanganya watu ni chama cha siasa..look at you!!
 
Comment ya kijinga km hii inaisaidiaje chagadema inayokufa?

Chadema IPO mpaka huku. Ipililo na Ng'wabayanda Maswa. CDM. ni ya. kitaifa. sisi. mbona siyo. wachaga. lakini tunalikubali. chama. letu. liko mpaka. Ukerewe. hadi. Rombo na Njombe...
 
Nadhani kucheck namba ya watu waliopo udom, kati yao niwangapi wamerudisha kadi, kama namba ni ndogo, neglect it! kama namba inaonekana itapoteza watu wenu, jaribu kufikiri namna ya kurudisha kondoo wenu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom