Katibu wa CHASO UDOM na wenzake 92 warudisha kadi za CHADEMA, wajiunga CCM

Status
Not open for further replies.

T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
987
HAYAHAYA DODOMA KUMEKUCHA, HABARI ZILIZONIFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA, KATIBU WA CHADEMA UDOM NDUGU SIMON MPANDALUME NA WANACHAMA WENGINE 92 WARUDISHA KADI ZA CHADEMA WAMEJIUNGA NA CCM LEO MCHANA.
Source: mtu wangu wa kuaminika aliyepo dodoma na udom
 
So what????
 
Mpaka leo ulikuwa hujui kama UDOM ni tawi la CCM!
 
Akili zao fupi; kwa hiyo baada ya Zitto kuvuliwa wadhifa CCM imekuwa afadhali? Mbona sioni relation kwenye hizo scenario mbili zaidi ya kuona tu ni upumbavu tu wa watu ambao kwao siasa ni mtaji. Nafasi za ukuu wa wilaya nimeisha labda watafarijiwa na Ukatibu kata
 
Na hao chaso/ chagadema waliobwaga manyanga wametoka wapi? Sizitaki mbichi hizi

Afadhali waasi wajiondoe wenyewe hatuna haja na wanachama wafuasi wa watu binafsi watujazi SAVER bure tunataka wenye mapenzi mema na CDM,
 
Nipo UDOM jamani, hakuna mwachadema aliye rudisha kad, now wanafunzi wapo busy na shule. Ni kazi ya magamba kueneza uwongo usio kua na ukweli wowote. Magamba wanahaha kutafuta sehemu ya kupumulia na kwa tarifa yenu magamba 3/4 ya Wanafunzi Dom ni CDM na ukiona Yupo chama cha majambazi ujue anaangaikia tumbo.
 
HAYAHAYA DODOMA KUMEKUCHA, HABARI ZILIZONIFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA, KATIBU WA CHADEMA UDOM NDUGU SIMON MPANDALUME NA WANACHAMA WENGINE 92 WARUDISHA KADI ZA CHADEMA WAMEJIUNGA NA CCM LEO MCHANA. Source: mtu wangu wa kuaminika aliyepo dodoma na udom
umbea mkubwa uko na tabia kama nyoka(ktk bibilia nyoka refers to satan,devil) bora urudi kwa zito akupe mgao zaidi 200000 hazikutoshi punguani we
 
HAYAHAYA DODOMA KUMEKUCHA, HABARI ZILIZONIFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA, KATIBU WA CHADEMA UDOM NDUGU SIMON MPANDALUME NA WANACHAMA WENGINE 92 WARUDISHA KADI ZA CHADEMA WAMEJIUNGA NA CCM LEO MCHANA.
Source: mtu wangu wa kuaminika aliyepo dodoma na udom

Bange zinawapelekesha. mmmm bange mbaya...... mmmmmmmmmm
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom