Katibu Chadema jimbo la Sengerema, Deusdeth Mwigala alionja joto ya jiwe baada ya kushambuliwa kwa kipigo hadi kupoteza fahamu na wafuasi waliodaiwa kuwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa tuhuma za kuvuruga mkutano wa chama hicho.
Kiongozi huyo wa Chadema alituhumiwa na wanachama na wafuasi wa CCM kuvuruga mkutano wao wa kampeni ya uchaguzi mdogo Kata ya Kahumulo wilayani humo jana baada ya kupita jirani na eneo la mkutano akitangaza mkutano wa chama chake kupitia vipaza sauti na hivyo kuvuruga usikivu.
SOURCE, MWANANCHI GAZETI