Katibu wa CCM Wilaya ya Hai atimuliwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katibu wa CCM Wilaya ya Hai atimuliwa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by migomo ya vyuo, Aug 11, 2011.

 1. m

  migomo ya vyuo Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katibu wa ccm wilaya ya hai mh. Hassan Mtenga.anayo barua inayomelekeza kufukuzwa kazi kutokana na na utendaji usio ridhisha. baada ya kupata barua hiyo alilazimika kutafuta vidonge aina ya diclopa na kumeze kisha akaenda kulalal kidogo kwa madai kwamba anajisikia vibaya na baadae aliungana nasi kwenye msiba wa kumuaga ndugu yetu ombaeli lema. source taarifa za kiintelijensia
   
 2. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ni gamba hilo
   
 3. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mbona wanajivua magamba madogo madogo wakati wanaacha yale magamba makubwa?
   
 4. N

  Nipe tano Senior Member

  #4
  Aug 12, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Kwani CHAMA CHA DEMOKRASIA YA MAANDAMANO KILIPOWAFUKUZA MADIWANI NI GAMBA KUBWA??? MBONA UNAFIKIRI KAMA MEYA WA JIJI LA DAR KWA KUTUMIA MAKALIO???
   
 5. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #5
  Aug 12, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,232
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Wacha watimuane!
   
 6. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Duh!? Ccm ina magamba mengi?
   
 7. m

  migomo ya vyuo Member

  #7
  Aug 12, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu zangu nawajulisha yule katibu wa ccm wilaya ya Hai ndg Hassani Mtenga aliyekuwa akiwafundisha vijana kuwapiga wenzao,mama zao,na baba zao ambao si wana ccm jana alijikuta akimeza dicloper na kuzuga kuumwa baada kupewa barua ya kutimuliwa kazi ya ukatibu wa wilaya.sasa anafikiria kurudi huko kwao akawafundishe ndugu zake namna ya kupigana baada ya kushindwa kuwachonganisha wana Hai. naaamini sala zetu zimefika mahali pake.
   
 8. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kumbe watu wa magamba wanajuana kuwa hufikiria kwa kutumia makalio?? Basi anzeni sasa kufikiria kwa kutumia ubongo
   
 9. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mbona ni kada wao mzuri sana wanamtimuaje?
   
Loading...