Katibu wa CCM mkoa wa Iringa afariki dunia

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,269
Nasikiliza bunge muda huu kuna mbunge ametoa taarifa bungeni kuwa Katibu Mkuu wa CCM mkoa wa Iringa amefariki dunia.

Kama ni kweli poleni wafiwa Mungu amuweke mahali anapostahili.
 
Hivi idadi ya wananchama wa ccm hadi sasa imefikia ngapi vile!!!!! nape alisema wapo milioni 5 lakini huwa haipungui wala haiongezeki.


Poleni CCM iringa.
 
hana maana kabisa kumbe likuwa kwenye kundi la wanaotuhujumu na kuua ndugu zetu,nasita kumwombea namwachia Mungu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom