u.k.a katibu
RIP katibu wa chama cha mapinduzi,tuko nyuma yako
R. I. P katibu.
Nyua yake kwenda wapi?RIP katibu wa chama cha mapinduzi,tuko nyuma yako
.........nyuma yake mnafanya nini mkuu!!?
Asisahau kumsalimia Mwenyekiti wake Mabina.msalimie ndugu yetu wagwe,dada grace mbowe na regia mtema