Katibu wa CCM Meru Hatoshi ni mla rushwa

carrera

Member
Mar 14, 2017
34
33
Katibu wa CCM Meru ndugu Mfanga anatuhumiwa kwa vitendo vya rushwa vilivyokithiri ikiwemo kuwaambia watangaza nia wa udiwani kuwa watoe laki tano tano ili awapitishe kwenye udiwani.

Sekretarieti CCM ya wilaya ya Meru ikiongozwa na katibu wa CCM Ndugu Mfanga ambaye ndiye mwenyekiti sekretarieti walipita kata mbalimbali na kujifanya wanafanya semina elekezi wakati wanamfanyia kampeni mbunge aliyemaliza muda wake ndugu John D waziwazi.

Wamefanya semina elekezi kwa tarafa zote tatu za Meru, walianzia tarafa ya kingori tarehe 6 na waliifanyia kingori, tarafa ya poli tarehe 7 waliifanyia chuo cha CDTI Tengeru na tarehe 9 tarafa ya mbuguni ambayo pia waliifanyia mbuguni na katika kila tarafa wanasema ni semina elekezi na wanafanya kampeni za waziwazi kwa kusema alikuwa mbunge wa mwaka mmoja hivyo aongezewe miaka hii mingine mitano na watu wanalalamika kwamba wameshampitisha kwa rushwa bila kufanya uchaguzi ndani ya Chama.

Takukuru Arumeru fuatilieni swala hili tofauti na hapo rushwa itanunua ubunge Meru kupitia kwa katibu wa chama wilaya ndugu Mfanga na Mwenezi wa wilaya bwana Hungura Mbwana ambaye amesahau majukumu yake ya uenezi wa wilaya na anamfanyia mbunge aliyepita kampeni, katibu na mwenezi wake wamekuwa wakishiriki vikao mbalimbali nje ya ofisi na kamati ya ushindi ya John D, vikao hivyo huwa vinafanyika baadhi ya maeneo ya Tengeru na hata nyumbani kwa Mbunge huyo.

Katibu amepewa million 6 na mwenezi amejengewa nyumba maji ya chai na kununuliwa gari yakiwa ni malipo ya kumuombea Mbunge kura na kuwadanganya wa mkutano mkuu wa wilaya kuwa ni maelekezo ya chama.

Na vijana mbalimbali wamehaidiwa hela na kusomeshewa watoto baada ya ushindi wa mbunge huyu swali la kujiuliza je chama kinaenda wapi kwa rushwa hii inayonunua Ubunge.

Huyu katibu na mwenezi wa CCM Meru hawatoshi kwa nafasi hii. TAKUKURU Meru mpo wapi rushwa inaponunua ubunge?

Screenshot_20200709-081141.jpg
Screenshot_20200709-081225.jpg
Screenshot_20200709-081347.jpg
 
Makatibu wote wa CCM wa wilaya nchini ni wapokea rushwa kutoka kwa wagombea na kuzipeleka kwa wapiga kura. Wafuatiliwe na wachunguzwe.
 
Hii si ungeipenyeza polepole kwanza kwa Mh Polepole uone kama hajafuatilia ndio uje huku hadharani?
 
Katibu wa CCM Meru ndugu Mfanga anatuhumiwa kwa vitendo vya rushwa vilivyokithiri ikiwemo kuwaambia watangaza nia wa udiwani kuwa watoe laki tano tano ili awapitishe kwenye udiwani.

Sekretarieti CCM ya wilaya ya Meru ikiongozwa na katibu wa CCM Ndugu Mfanga ambaye ndiye mwenyekiti sekretarieti walipita kata mbalimbali na kujifanya wanafanya semina elekezi wakati wanamfanyia kampeni mbunge aliyemaliza muda wake ndugu John D waziwazi.

Wamefanya semina elekezi kwa tarafa zote tatu za Meru, walianzia tarafa ya kingori tarehe 6 na waliifanyia kingori, tarafa ya poli tarehe 7 waliifanyia chuo cha CDTI Tengeru na tarehe 9 tarafa ya mbuguni ambayo pia waliifanyia mbuguni na katika kila tarafa wanasema ni semina elekezi na wanafanya kampeni za waziwazi kwa kusema alikuwa mbunge wa mwaka mmoja hivyo aongezewe miaka hii mingine mitano na watu wanalalamika kwamba wameshampitisha kwa rushwa bila kufanya uchaguzi ndani ya Chama.

Takukuru Arumeru fuatilieni swala hili tofauti na hapo rushwa itanunua ubunge Meru kupitia kwa katibu wa chama wilaya ndugu Mfanga na Mwenezi wa wilaya bwana Hungura Mbwana ambaye amesahau majukumu yake ya uenezi wa wilaya na anamfanyia mbunge aliyepita kampeni, katibu na mwenezi wake wamekuwa wakishiriki vikao mbalimbali nje ya ofisi na kamati ya ushindi ya John D, vikao hivyo huwa vinafanyika baadhi ya maeneo ya Tengeru na hata nyumbani kwa Mbunge huyo.

Katibu amepewa million 6 na mwenezi amejengewa nyumba maji ya chai na kununuliwa gari yakiwa ni malipo ya kumuombea Mbunge kura na kuwadanganya wa mkutano mkuu wa wilaya kuwa ni maelekezo ya chama.

Na vijana mbalimbali wamehaidiwa hela na kusomeshewa watoto baada ya ushindi wa mbunge huyu swali la kujiuliza je chama kinaenda wapi kwa rushwa hii inayonunua Ubunge.

Huyu katibu na mwenezi wa CCM Meru hawatoshi kwa nafasi hii. TAKUKURU Meru mpo wapi rushwa inaponunua ubunge?

Hizo ndio za wana-ccm. Tubadiilishe uongozi mwaka huu!
 
Back
Top Bottom